kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Hayo mambo yenu yamesababisha mke wangu apunguze uzito,sijapenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uthisubutu kweliKuna jamaa mmoja alinizidi kiumri kuna siku tumekaa kijiweni tunapiga story akanambia usije ukaoa mwanamke bonge nikamuuliza kwa nn hakunipa jibu maana mke wake ni bonge mpaka leo naiwaza kauli yake japo sijafanikiwa kuoa hivi vibonge wana shida gani swali juu ya mada.
Mama gani?Halafu ndo tuna upendo wa kweli kama wa mama yako[emoji23]
Mama gani?
Umeandika upumbavu wa hali ya juu. Kwaio uyo kwenye picha sio bongeKuna TOFAUTI kati ya wanamake wanene aka mabonge na wanawake wenye figure au thick. Huyo ulieweka sio bonge ni mwanamke mwenye figure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Halafu ndo tuna upendo wa kweli kama wa mama yako[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zhongtong climber hii.Na ukome kuyasema vibaya mayutong
Manamake manene mapoleee, matulivu, yana huruma, yana upendo, hayana neno na mtu wala hayana hata haja ya kujidekesha yaani otomatikale utakuta tu mwenyewe unalidekesha kwa raha linazokupa...Amani ya moyo mtu unaweza hata kutoroka kazini uje nyumbani chapu ulisalimie tu yaani [emoji39][emoji39]
Vimbaumbau hivi kiranga, gubu, ugomvi na kisirani 24/7 ndo faida gani?...
View attachment 2233464
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bonge ni kama huyuView attachment 2233474
Ndyooooh babeeeezz nidekezee, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Kudekewa raha sana haijalishi ni bonge au mwembamba,
Hata nikiwa busy kiasi gani akianza mideko tu naacha kila kitu namdekeza,
[emoji2]
Kweli kabisa alafu wanajua kupenda sana....Sema wadada vibonge wana roho nyeupe sana sijui ni kwa nini.
Naam Sheikh.Na ukome kuyasema vibaya mayutong
Manamake manene mapoleee, matulivu, yana huruma, yana upendo, hayana neno na mtu wala hayana hata haja ya kujidekesha yaani otomatikale utakuta tu mwenyewe unalidekesha kwa raha linazokupa...Amani ya moyo mtu unaweza hata kutoroka kazini uje nyumbani chapu ulisalimie tu yaani [emoji39][emoji39]
Vimbaumbau hivi kiranga, gubu, ugomvi na kisirani 24/7 ndo faida gani?...
View attachment 2233464
Tatizo wakudekea sasa hakunaIla kudeka raha sana ukimpata anaekudekeza,
Unaweza oa mke mwembamba ile anakuja kwako na mtoto tayari ndiyo anafutuka kama kiboko utafanyaje hapo!Kuna jamaa mmoja alinizidi kiumri kuna siku tumekaa kijiweni tunapiga story akanambia usije ukaoa mwanamke bonge nikamuuliza kwa nn hakunipa jibu maana mke wake ni bonge mpaka leo naiwaza kauli yake japo sijafanikiwa kuoa hivi vibonge wana shida gani swali juu ya mada.
Nnavopenda kudeka sasa[emoji23][emoji23][emoji23] eti kama kubwa jinga mkuu una dhambi sana, ila kuna ka ukweli hivi[emoji23]
Story of my life ila ukijimaintain unaloose somehowUnaweza oa mke mwembamba ile anakuja kwako na mtoto tayari ndiyo anafutuka kama kiboko utafanyaje hapo!
Chibonge afu mfupi ni shida sana wana roho mbaya sanaSema wadada vibonge wana roho nyeupe sana sijui ni kwa nini.
Haaah wamejaa stress tupuTatizo wakudekea sasa hakuna