Wanawake wanene wakideka wanaonekana kama makubwa jinga

Wanawake wanene wakideka wanaonekana kama makubwa jinga

Nimecheka kama chizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134]
 
Kwenye ushoga na usagaji kwa vile wanaupenda wana sababu gani? Wameufanyia majaribio gani kadhaa na kuthibitisha kuwa unafaa? Unawajua wazungu vizuri mkuu?

Vigezo vya ulimbwende mara nyingi huamriwa na jamii husika ndiyo maana vinatofautiana kutoka jamii moja kwenda nyingine. Lakini kwa vile wazungu ndiyo watawala wa dunia basi kila wanachokiamua ndicho kinakuwa duniani kote. Kwao mwanamke mlimbwende ni lazima awe kimbaumbau.

Huku kwetu hali haikuwa hivyo na tulipendelea maumbo ya Kibantu mpaka miaka ya karibuni baada ya globalization kuingia - pamoja na matatizo yake lukuki!

Kwenu nyinyi vijana ndo mmekulia kwenye usasa huu lakini sisi wazee tuliozaliwa kabla ya uhuru ilikuwa ukiwa na kimwanamke chembamba mbavu zimepangana unachekwa kwamba pengine unakitesa au hukilishi vizuri.

Kila kitabu na wakati wake lakini....

Hiyo ni dosari ndogo katika mazuri mengi sana.
 
Kuzani kuwa unene ni neema si sawa na ni mtazamo wa kijima.

Eti ionekane kama ni mke atakuwa anapata matunzo mazuri [emoji3][emoji3]

Ni ujinga mtu mwenye mtazamo wa hivyo anatakiwa kupewa elimu ya lishe aelewe changamoto za overweight.
 
Nimecheka kama chizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa mmoja alinizidi kiumri kuna siku tumekaa kijiweni tunapiga story akanambia usije ukaoa mwanamke bonge nikamuuliza kwa nn hakunipa jibu maana mke wake ni bonge mpaka leo naiwaza kauli yake japo sijafanikiwa kuoa hivi vibonge wana shida gani swali juu ya mada.
Lizurii likiwa ndani ya Nguoo...[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lizurii likiwa ndani ya Nguoo...[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23] kuna bonge namkubali ana mdomo mzuri meno white kama anatangaza Colgate always ana smile

Hiyo point yako imenchekesha sana, likivua je [emoji28]
 
Kuzani kuwa unene ni neema si sawa na ni mtazamo wa kijima.

Eti ionekane kama ni mke atakuwa anapata matunzo mazuri [emoji3][emoji3]

Ni ujinga mtu mwenye mtazamo wa hivyo anatakiwa kupewa elimu ya lishe aelewe changamoto za overweight.
Naona unajaribu kuforce kila mwanaume apende unachopenda wewe, umeshaambiwa kila mtu ma taste yake kwa mwanamke ila bado umekomaa tu😄.

Wewe unapenda mwembamba mwingne anapenda mnene, nafikiri ibaki hivyo.
 
Back
Top Bottom