Wanawake wanene wakideka wanaonekana kama makubwa jinga

Wanawake wanene wakideka wanaonekana kama makubwa jinga

Wasalaam,

Katika pilika za mahusiano nilichogundua kudeka kunampa raha mwanamke japo kwa kiasi ila pia kudeka kwa mwanamke kunampa fursa mwanaume kujimwambafy na kutekeleza 1, 2, 3

Lakini kudeka kunapendeza kwa mwanamke mwembamba sasa unakuta mwanamke kama kiboko ati na yeye anajidekeza haa ha haa. Siwasemi kwa lengo baya ila mwanamke bonge hapendezi kudeka anaonekana kama kubwa jinga tu.

Uzi tayari ASP
Waambie waambie ety unakuta mwanamke ana kilo 80, 90, 100, 120, 150 ety na ye anadeka "" Babe naomba nibebe nimechoka"""" Hapo mwanaume anaanza kusema hili nalo jitu zima ovyo....... Lakin kg 40, 60, hata akisema babe nibebe utasikia saw Sweetheart ngoja nkubebe.
 
Huna pointi. Kigezo kikubwa cha ubonge wa mtu ni uzito wake bila kujali kama ni pear-shaped au apple-shaped. Basi itakubidi urekebishe title ya uzi wako na usomeke kuwa unaowakandia ni wanawake wanene wasio na shepu...

Na hao mabonge wasio na shepu unahangaika nao wa nini? Au unaishi mikoa ya huko wanakopatikana kwa wingi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Kamata bonge halafu pear-shaped ule mema ya dunia kijana acha kukandia vitu usivyovijua! [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2233496View attachment 2233497View attachment 2233498
Sasa hawa,hayo manyama yao yana faida gani??.
 
Hata mkitembea kwa mguu mkafika kwenye mwinuko Mdogo wala si mlima hasa uone kati ya membamba na mnene nani atakuwa na stamina ya kuendelea bila kuhemahema na kusimama?
 
Wazungu vitu vingi wanavyovipenda huwa na sababu na siyo hivi hivi tu!

Unakuta jambo limekuwa majaribio kadhaa na kuthibitishwa kufaa!
 
Wasalaam,

Katika pilika za mahusiano nilichogundua kudeka kunampa raha mwanamke japo kwa kiasi ila pia kudeka kwa mwanamke kunampa fursa mwanaume kujimwambafy na kutekeleza 1, 2, 3

Lakini kudeka kunapendeza kwa mwanamke mwembamba sasa unakuta mwanamke kama kiboko ati na yeye anajidekeza haa ha haa. Siwasemi kwa lengo baya ila mwanamke bonge hapendezi kudeka anaonekana kama kubwa jinga tu.

Uzi tayari ASP

Mshenzi sana we jamaa dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazungu vitu vingi wanavyovipenda huwa na sababu na siyo hivi hivi tu!

Unakuta jambo limekuwa majaribio kadhaa na kuthibitishwa kufaa!

Kwenye ushoga na usagaji kwa vile wanaupenda wana sababu gani? Wameufanyia majaribio gani kadhaa na kuthibitisha kuwa unafaa? Unawajua wazungu vizuri mkuu?

Vigezo vya ulimbwende mara nyingi huamriwa na jamii husika ndiyo maana vinatofautiana kutoka jamii moja kwenda nyingine. Lakini kwa vile wazungu ndiyo watawala wa dunia basi kila wanachokiamua ndicho kinakuwa duniani kote. Kwao mwanamke mlimbwende ni lazima awe kimbaumbau.

Huku kwetu hali haikuwa hivyo na tulipendelea maumbo ya Kibantu mpaka miaka ya karibuni baada ya globalization kuingia - pamoja na matatizo yake lukuki!

Kwenu nyinyi vijana ndo mmekulia kwenye usasa huu lakini sisi wazee tuliozaliwa kabla ya uhuru ilikuwa ukiwa na kimwanamke chembamba mbavu zimepangana unachekwa kwamba pengine unakitesa au hukilishi vizuri.

Kila kitabu na wakati wake lakini....
 
Back
Top Bottom