Wanawake waonyesheni mabinti zenu baba zao, mnatupa wakati mgumu sana

Wanawake waonyesheni mabinti zenu baba zao, mnatupa wakati mgumu sana

Kuna siku moja kwenye kutoa mahali upande wa ukweni na hupande wa umeeni kumbe ukweni ni mama wa mtoto wa wa kike na kiumeni ni baba wa mtoto anayekuja kuoa.
tuishie hapo ndoa hakuna baba mmoja mama tofauti.

Hekaheka
 
Haya mambo sio mepesi vile
Watoto na hata Mimba nyingine hazitambulishiki muhusika ndugu
Niliwahi kutana na case moja mtoto kafika miaka20 hamjui babake kumbe babake mwenyewe ni babu yake mzaa mama

Vitu vingine laana
Changanua kidogo mama D
 
Mtoto akisha kua mkubwa 18+ mwambie ukweli, ukweli humweka mtu huru.. kuliko kucheza na hisia za mtoto tena mtoto wa kike

Kuna mambo magumu tusiyoyajua
Usikite wote baba na mama hawataki mtoto amjue baba
Mambo mengine yaachage yapite tuu
 
Kuna mambo ni very complicated
Ila wadada jitahidini na watu mnaowabebea mimba jamani
 
Haya mambo sio mepesi vile
Watoto na hata Mimba nyingine hazitambulishiki muhusika ndugu
Niliwahi kutana na case moja mtoto kafika miaka20 hamjui babake kumbe babake mwenyewe ni babu yake mzaa mama

Vitu vingine laana
Amwambie tu maana walipokuwa wanakukuruka mtoto hakuwepo amwambie tu, mke nilisomaga na mdada Baba yake ni mjomba wake tumbo moja na Mama yake, sasa watu wa nje ndiyo wanajua Mme wa Mama alikuwa anamtenga peupe kweli, nazani hata yeye aliwahi sikia lakini kulivalia kibwebwe hakuweza, nilihama nikiwa na 13yrs sijui huko nya
 
Haya mambo ukiona baba hatajwi wewe jikalie kimya tuu
Unaweza kulazimisha ukaishia kuvuruga ukoo na kuvunjavunja familia
Ni kweli, lakini vilevile tuna haja ya kuimarisha ustawi wa ndoa zetu kupunguza michepuko, mwanaume akiheshimiwa ndani ya familia, akapewa na kutoa unyumba kwa kipimo kinachoshauriwa ipasavyo, haya majanga yatapungua kwa kiasi
 
Uchungu beba mwenyewe sio kumbebesha binti yako, jua yeye hana kosa na pia anaweza akaja kua mama au mke baadae.. acha kuharibu mtoto wa kike..
Ndio hana uwezo sasa wa kuyabeba mwenyewe.

Hebu anzeni kudeal na chanzo cha matatizo na sio matokeo ya matatizo.
 
Kutomwambia mtoto yake ni yupi kunaweza kuwa na athari kubwa zaidi kwake kisaikolojia

Kama baba m-bovu wewe mwambie tuu Yule ndio babako, huo ubovu mtoto atakutana nao mwenyewe na kukuelewa

Na tujue tuu haibadilishiki zipo baraka ambazo zinafuata mkondo toka kwa Mungu, zinashuka kwa baba kisha kwa mtoto. Sijasema Mali, nimesema baraka
Na baraka ni maneno🙏
Sasa atadeal vipi na matatizo ya kisaikolojia ya mtu mwingine ikiwa yake bado hayajawa solvrd!! Anayefanya hivyo ni kwasababu matatizo yake hayajatatuliwa hivyo anapofanya hivyo anaona yuko sahihi.
 
Wacha we!!
Umejiuliza machungu waliosababishiwa hadi kufikia hatua hiyo? Au umeamua kudeal na matokeo ya tatizo!!
Uchungu beba wewe sio mtoto ambaye hausiki kwa chochote, hivi huwa mnajua baraka za mtoto huwa zinakuwa kwa baba yake? Uwe unamtaka au humtaki, mmeachana au mnaendelea ,mtoto hausiki kabisa
 
Uchungu beba wewe sio mtoto ambaye hausiki kwa chochote, hivi huwa mnajua baraka za mtoto huwa zinakuwa kwa baba yake? Uwe unamtaka au humtaki, mmeachana au mnaendelea ,mtoto hausiki kabisa
Ooooh!! Kumbe hilo mwalijua!! Sasa mbona mnajitoa ufahamu!!

Huo uchungu unaosema aubebe ndio huo kaubeba na matokeo yake ndio hayo kayahamishia kwa mtoto. Wanawake huwa hatubebi vitu peke yetu, tutatafuta tu pa kuyabwaga kama hatutopata msaada, yaweza kuwa mume,mtoto nk.

Jikiteni kwenye kuwatua hayo machungu kwanza, maana bomu huwa halikumbatiwi na lililipuka madhara yake sio kwa aliyelikumbatia pekee.
 
Ukisema tujikite kwenye kuwatua machungu unakosea, kwasababu hata kwenye kuyabeba hayo machungu hatukuwepo, na hao wanawake wengi wao wanakuwa wameambiwa ila wanajitoa ufahamu au kwa upofu wa mapenzi, tukirudi kwenye hoja ya mtoa mada amekutana na binti ambaye hamfahamu baba yake na mama yake amekataa kumuonyesha sasa unafikir huyo binti amebeba mzigo was namna gani moyoni mwake? Unafikir atayafurahia mahusiano yake akiwa na kumbukumbu mbaya Kwa yale aliyosimuliwa na mama yake juu ya aliyosikia kuhusu baba yake??
 
I hope this single parent madness inaishia kwangu,
No child, grandchild, great grandchild of mine shall be a single parent, Amen?
Nasemaga kila siku mwanangu akifika 18 lazima alete demu tuoe,
Hapa yupo yupo nursery nishaambiwa ana mademu tayari nafurahi sana,
Ashikilie humo humo mkewe ndo atatoka huko huko,
Yani ni dini namuhubiria it should stick in his head that he's a family man,
Ndo najichanga nisevu mahari na kanyumba ka mkamwana wakwe amepata wasiwe na wasiwasi
 
Back
Top Bottom