Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto akisha kua mkubwa 18+ mwambie ukweli, ukweli humweka mtu huru.. kuliko kucheza na hisia za mtoto tena mtoto wa kike
Baba hana hiyo shida ila unampa tabu mtoto kwa uzembe wako.Ulishalianzisha namaliza,semen mtakavyo ila jitahidini kutokukimbia mimba
SadBaba aliyemzaa mama ameamua kuendeleza uzao mwenyewe. Kamzalisha mwanae
Amwambie tu maana walipokuwa wanakukuruka mtoto hakuwepo amwambie tu, mke nilisomaga na mdada Baba yake ni mjomba wake tumbo moja na Mama yake, sasa watu wa nje ndiyo wanajua Mme wa Mama alikuwa anamtenga peupe kweli, nazani hata yeye aliwahi sikia lakini kulivalia kibwebwe hakuweza, nilihama nikiwa na 13yrs sijui huko nyaHaya mambo sio mepesi vile
Watoto na hata Mimba nyingine hazitambulishiki muhusika ndugu
Niliwahi kutana na case moja mtoto kafika miaka20 hamjui babake kumbe babake mwenyewe ni babu yake mzaa mama
Vitu vingine laana
😂😂😂haina shida,duniani tumeumbiwa tabu mkuuBaba hana hiyo shida ila unampa tabu mtoto kwa uzembe wako.
Yeah,ndivyo inavyopaswa mkuu.😂Nashukuru kwa kujikubali,
Ni kweli, lakini vilevile tuna haja ya kuimarisha ustawi wa ndoa zetu kupunguza michepuko, mwanaume akiheshimiwa ndani ya familia, akapewa na kutoa unyumba kwa kipimo kinachoshauriwa ipasavyo, haya majanga yatapungua kwa kiasiHaya mambo ukiona baba hatajwi wewe jikalie kimya tuu
Unaweza kulazimisha ukaishia kuvuruga ukoo na kuvunjavunja familia
Ndio hana uwezo sasa wa kuyabeba mwenyewe.Uchungu beba mwenyewe sio kumbebesha binti yako, jua yeye hana kosa na pia anaweza akaja kua mama au mke baadae.. acha kuharibu mtoto wa kike..
Sasa atadeal vipi na matatizo ya kisaikolojia ya mtu mwingine ikiwa yake bado hayajawa solvrd!! Anayefanya hivyo ni kwasababu matatizo yake hayajatatuliwa hivyo anapofanya hivyo anaona yuko sahihi.Kutomwambia mtoto yake ni yupi kunaweza kuwa na athari kubwa zaidi kwake kisaikolojia
Kama baba m-bovu wewe mwambie tuu Yule ndio babako, huo ubovu mtoto atakutana nao mwenyewe na kukuelewa
Na tujue tuu haibadilishiki zipo baraka ambazo zinafuata mkondo toka kwa Mungu, zinashuka kwa baba kisha kwa mtoto. Sijasema Mali, nimesema baraka
Na baraka ni maneno🙏
Sidhani kama yuko mzazi yeyote chini ya jua anyemtakia mwanae mabaya, isipokuwa tu kwa wenye matatizo.Mpuuzi mmoja huyo...anaropokaropoka tu
Uchungu beba wewe sio mtoto ambaye hausiki kwa chochote, hivi huwa mnajua baraka za mtoto huwa zinakuwa kwa baba yake? Uwe unamtaka au humtaki, mmeachana au mnaendelea ,mtoto hausiki kabisaWacha we!!
Umejiuliza machungu waliosababishiwa hadi kufikia hatua hiyo? Au umeamua kudeal na matokeo ya tatizo!!
Ooooh!! Kumbe hilo mwalijua!! Sasa mbona mnajitoa ufahamu!!Uchungu beba wewe sio mtoto ambaye hausiki kwa chochote, hivi huwa mnajua baraka za mtoto huwa zinakuwa kwa baba yake? Uwe unamtaka au humtaki, mmeachana au mnaendelea ,mtoto hausiki kabisa
Ukisema tujikite kwenye kuwatua machungu unakosea, kwasababu hata kwenye kuyabeba hayo machungu hatukuwepo, na hao wanawake wengi wao wanakuwa wameambiwa ila wanajitoa ufahamu au kwa upofu wa mapenzi, tukirudi kwenye hoja ya mtoa mada amekutana na binti ambaye hamfahamu baba yake na mama yake amekataa kumuonyesha sasa unafikir huyo binti amebeba mzigo was namna gani moyoni mwake? Unafikir atayafurahia mahusiano yake akiwa na kumbukumbu mbaya Kwa yale aliyosimuliwa na mama yake juu ya aliyosikia kuhusu baba yake??Ooooh!! Kumbe hilo mwalijua!! Sasa mbona mnajitoa ufahamu!!
Huo uchungu unaosema aubebe ndio huo kaubeba na matokeo yake ndio hayo kayahamishia kwa mtoto. Wanawake huwa hatubebi vitu peke yetu, tutatafuta tu pa kuyabwaga kama hatutopata msaada, yaweza kuwa mume,mtoto nk.
Jikiteni kwenye kuwatua hayo machungu kwanza, maana bomu huwa halikumbatiwi na lililipuka madhara yake sio kwa aliyelikumbatia pekee.