Wanawake, wapi tunakosea kuwaandaa wakati wa tendo?

Wanawake, wapi tunakosea kuwaandaa wakati wa tendo?

Joined
Mar 11, 2018
Posts
6
Reaction score
18
1) Huwa tunakosea wapi kwenye kuwaandaa katika swala zima la kuelekea katika kufanya mapenzi?

2) Nyie mnapenda tuwe tunawaandaaje, na nini hamkipendi tukifanye tunapowaandaa?

Yale maneno ya pembeni muyaache, semeni ukweli watu tuache ujuaji.
 
Back
Top Bottom