Wanawake warembo wa sura na umbo ukiwatongoza hawakatai, kimbembe wale wa upande wa pili, hivi ni kwa nini?

Hahahha...inategemea na unavyomtokea wanaume wengne hawajui kutongoza unakuta mwanaume unaanza jisifia mpk kero unajifananisha na bill gate
Hao ni kwa wengine, ila mimi nimejionea na wala sijifii, lakini wamenitupilia huko
 
Tanzania , vijana wengi maisha yanawapeleka kasi sana.


Aiseeeeh, eeeh Mola ponya vijana hawa!!
Ni kweli mkuu, maisha sasa chini ya manunuzi ya Mheshimiwa yanatupeleka more than less!
 
Labda nao wamekuona wewe kigagula, kwaio ni bampa to bampa. Kinyume na hapo fanya mchakato pengne unachelesha dozi
Mbona warembo wanatiki fresh tu..tena bila hata mizinga..ni wachache tu huwa wanapima upepo wa kunipiga vizinga..!
 
Thubutuuu,kutopigwa mzinga hata na mrembo mmoja kati ya hao wanane umedhihilisha hii story ya kutunga,babu story kama hizi tupia fb maana huko hata mahausi gelo wapo,huku watu wanajielewa sana tu
 
Thubutuuu,kutopigwa mzinga hata na mrembo mmoja kati ya hao wanane umedhihilisha hii story ya kutunga,babu story kama hizi tupia fb maana huko hata mahausi gelo wapo,huku watu wanajielewa sana tu
Mkuu kuna ile mizinga ya haja mwanaume unapigwa hadi kichwa kinauma, kina mizinga midogo kama vocha buku kumi, nauli ya bodaboda nk hiyo siiweki kwenye fungu la mizinga, pengine tunatofautiana!
Kuna watu wanapigwa mizinga inafika hadi mill 8 hushangai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…