DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Bia kubwa ndo bia gani hizo[emoji848]Kuna kipengele umeacha alilewa bia kubwa tano na K vant pia
Hapo ndo alijiroga alijifanya anamkomesha ex mwishowe kakomeshwa yeye ila I swear mwanaume atakaenibaka kupiga picha na kurusha kwenye mitandao nikishindwa kumuua,ntamfunga maisha ,na nikishindwa namroga ntaenda hata msumbiji aseeh sijawahi roga mtu Ila ntajifunzia kwake...