Wanawake/Wasichana tuwe makini sana

Wanawake/Wasichana tuwe makini sana

Kuna kipengele umeacha alilewa bia kubwa tano na K vant pia
Hapo ndo alijiroga alijifanya anamkomesha ex mwishowe kakomeshwa yeye ila I swear mwanaume atakaenibaka kupiga picha na kurusha kwenye mitandao nikishindwa kumuua,ntamfunga maisha ,na nikishindwa namroga ntaenda hata msumbiji aseeh sijawahi roga mtu Ila ntajifunzia kwake...
Bia kubwa ndo bia gani hizo[emoji848]
 
Kuna wadada wanatabia ya kudhurumu mapenzi...yaan anakupiga mizinga kama yote na kuigiza anakupenda ukimuomba mbunye kalenda tu kila cku mwishowe anajifanya ety mjanja anakukataa inauma sana

kama mtu humtaki mkatae tu na usichukue kitu chochote

"kula vya watu ni kujiingiza kwenye mtego ipo cku utauumbuka"
 
Kabisaa
 
Ebu fanya basi connection ya hizo video bwana....tutamini vipi ni kweli?

Jokes aside. Hii kitu kuna demu mmoja alinismulia pia kuwa ex wake hivyo hivyo siku kamwambia tutoke out jamaa yeye ana gharamia kila kitu bia kama vote chakula. Demu chakali. Usubuhi demu anajikuta tigo inauma kinoma. Ndio akampigia besty wake afanyeje. Besy kamwambia kalia maji ya moto.

So moral of the story is women plz hizi desparados na savannah tunazotoa sie wanaume sio za bure ati.
Mimi mwenywe naisubr hiyo connection, mzabzab anataka aone kilichotendeka [emoji23]
 
Hii itakuwa ni chai, timeline haijakaa sawa...

Kafanyiwa ushenzi wote huo jana kiasi akawa hajitambui, kapelekwa hospitali na kufanyiwa vipimo vilivyoonesha hawezi kuzaa tena, karecover na kuanza kupiga simu n.k n.k vyote hivi ni katika muda wa jana na leo [emoji56][emoji56]
Wewe unahisije, kwan kila story lazima details zote ziwepo , ww jua tuu alikuja kumtafuta, mm na ww hatujui n baada ya mda gani
 
Kuna kipengele umeacha alilewa bia kubwa tano na K vant pia
Hapo ndo alijiroga alijifanya anamkomesha ex mwishowe kakomeshwa yeye ila I swear mwanaume atakaenibaka kupiga picha na kurusha kwenye mitandao nikishindwa kumuua,ntamfunga maisha ,na nikishindwa namroga ntaenda hata msumbiji aseeh sijawahi roga mtu Ila ntajifunzia kwake...
Yeah alikunywa safari kubwa 5 na kvant 2
 
Kuna kipengele umeacha alilewa bia kubwa tano na K vant pia
Hapo ndo alijiroga alijifanya anamkomesha ex mwishowe kakomeshwa yeye ila I swear mwanaume atakaenibaka kupiga picha na kurusha kwenye mitandao nikishindwa kumuua,ntamfunga maisha ,na nikishindwa namroga ntaenda hata msumbiji aseeh sijawahi roga mtu Ila ntajifunzia kwake...
Haisaidii kitu wakirusha mtandaoni utajuta na hii globalization mpaka wanaoe watakuja kuona na wajukuu zako

Maeneo mengi yanatokea haya mambo chanzo ni wahusika wote mwanamke unaitwa bar unaelewa tayar ushamkaribisha shetani achen ushenzi kupelekwa out je angeuliwa angelipiza saa ngapi ushenzi mnaufuata wenyewe
 
Iwe chai au uji mm sijui...

Neno ni mojaaa tu.....
Mimi kwangu, Ex sijui X sijui Ekisi harudiwi hataaa aje na trick gani, kwanza mm tukishaachaa for 3 Months, ujueee ndy imeishaaaa hivyooooo hata out sijui Night date siji....

Pole yakee mdada
 
Back
Top Bottom