Wanawake watulivu waungwana, wasio cheat wacha Mungu, mko wapi?

Wanapatikana makanisani sio mikoani au wilayani au popote nje ya kanisani

Huko kwingine inakula kwako muda wowote
Kanisani ni hatari sana bora uchukue nje upeleke kanisani
Wa kanisani wote wale wasaka ndoa wakishaipata tu ndoa na kanisani uwaoni.
Wanawake wa kanisani wengi ni wasanii tuliza sana kichwa.
Wakishaolewa hawaendi tena makanisani
 
Single mama wengi ni wanawake waliokuwa watulivu wakingojea mme bora kwa sababu hawana uzoefu na wanaume sababu ya kujichunga wanaangukia kwa matapeli wanawatumia wanawaacha.
Mwanamke mjanja au malaya hawezi kuwa single mama kwa sababu ana skill za kuwajua wanaume matapeli thus upata bahati ya kuopoa wanaume waungwana watulivu
 
Kweli kabisa ila single mama wengi wametulia
 
Back
Top Bottom