Wanawake watulivu waungwana, wasio cheat wacha Mungu, mko wapi?

Wanawake watulivu waungwana, wasio cheat wacha Mungu, mko wapi?

🤣🤣🤣 Nakutaka. Nataka kwanza uone hao wanaume wa hovyo huko ili utambue kuwa mie ndio special one😜
Alafu kiwanja vipi bbby hau hutaki tuwe na mjengo wetu na chumba chetu specially kwa mizangamuano
Mm nilijua unatania nitakupa updates nikumbushe j moc
 
Mm nilijua unatania nitakupa updates nikumbushe j moc
Uta i tena kwenye suala la kupata mke na kiwanja bby kweli....ebu kuwa serious hili jambo mwaka huu lazima liishe. Mwaka kesho binti natasha apatikane watu wale ubwabwa
 
Back
Top Bottom