Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Upande mmoja kuna Rais, Upande wa pili kuna Spika.
Hawa ni watu wenye nguvu nyingi sana katika nchi yetu. Kifupi wameshikilia mihimili mikuu miwili ya hatma ya nchi yetu.
Mwanzo tulidhani kwa kuwa tumepata viongozi wanawake, watakuwa ni watu cool, wasio na ego , wenye huruma na kuweka masilahi ya umma mbele.
Lakini kinachojitokeza hapa kuna mambo mwili!. Mwanamke ukimuweka kwenye pressure kubwa, ndipo rangi yake halisi inajitokeza!. Inferiority Complex na kutaka Kujitutumua kuwa TUNAWEZA, matokeo yake ndiyo haya.
Tuna SPIKA mbishi, Mjuaji, Kiburi anayejiona ana akili kuliko watu wote mle bungeni. Matokeo yake ndiyo haya tuliyoyaona!. Powers zetu kwenye mambo ya bandari tumemkabidhi mwarabu Kiubwetee!
Wananchi wanapaza Sauti, Wanatoa vilio vyao, Hawaridhishwi na Jambo. Kwa nini msiwape muda wa kutosha wa kuwasikiliza?. Badala yake kilichotokea ni KUJITUTUMUA kwa Spika. Kujiona anajua na matokeo yake ni KUDHARAU, KUTOJALI hisia za Watanzania. Na kutumia Bullying Pulpit ya kiti cha Spika kupitisha kitu kisicho na faida, chenye hasara kwa vizazi na vizazi vijavyo.
Leo nimuulize Spika. Sawa umekubali Kuweka bandari yetu mikoni mwa Mwekezaji kwa masharti na vifungu vya Kijinga, wewe umepata nini zaidi ya kuendelea kuitwa Spika tu?. Huo uspika wako ambao miaka 20 ijayo huenda usiwe nao Utavisaidiaje vizazi na vizazi kwa Kuleta Ubishi na Ujuani wako katika mkataba huu wa Kimangungo?
Huu mkataba uliopitishwa ni USALITI, Tutaendelea kuwaona ni WASALITI kwa nchi yetu kwa maamuzi haya ya kishabiki, Kiburi, Ujuaji mwingi na kumlinda Samia badala ya kuweka mbele maslahi ya Taifa!