Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ntakwambia kwenye simuSawa mchumba. Wapi twende??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakwambia kwenye simuSawa mchumba. Wapi twende??
Kweli eehSasa si afadhali mwenye maex kuliko mwenye michepuko? Au?
Ahahahahah semaaa suuuuu niweke zote hapo hadi mimi [emoji23][emoji23][emoji23]Basi Mama Sabrina atajifanya hajaiona hii
Hahahahaah siku unakutana na mama sabrina unashangaa machozi yanakutoka automatic na kusema nini hiki...hapa ndipo kuna ile Expectation vs Reality
KritikaKati ya hawa wote ni yupi anafaa kuwa mke?
Na wote hatudangiJf yote wanawake wote ni warembo haswa, wana chura kubwa wote, home mambo safi,
Sio vizuri na mashemeji mtupitie hapa msasaniNtakwambia kwenye simu
Hahahahaaa. Unataka watu pm zidode eeh? Jaribu uone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahahah semaaa suuuuu niweke zote hapo hadi mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ni Google wife materialKritika
Unajua muda wako uliokua unapoteza pm kutaka kujuana na Mama sabrina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaah siku unakutana na mama sabrina unashangaa machozi yanakutoka automatic na kusema nini hiki
Geti kali hatutakiii. Maswala ya chakula kimefika mezani unaanza mishe za nimeitwa na bibi hatutakiSio vizuri na mashemeji mtupitie hapa msasani
Unaanza kusema "yaan mimi kweli mama sab wa kunifanyia hivii"Unajua muda wako uliokua unapoteza pm kutaka kujuana na Mama sabrina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jomoniii acheni kunifanyia hivyo mwenzako nipo jela nishazoea kuswampa,bora j4 niondoke nimechokaaaGeti kali hatutakiii. Maswala ya chakula kimefika mezani unaanza mishe za nimeitwa na bibi hatutaki
Tutakufikiria ratiba ya jioni, hii ya mchana ni ya kifamilia.Jomoniii acheni kunifanyia hivyo mwenzako nipo jela nishazoea kuswampa,bora j4 niondoke nimechokaaa
Ahahhahaha sawa naomba na mimi niwe mwenyeweee tu familia ibaki nyumbaniTutakufikiria ratiba ya jioni, hii ya mchana ni ya kifamilia.
Mmhh, hiyo siwezi kuahidi.Ahahhahaha sawa naomba na mimi niwe mwenyeweee tu familia ibaki nyumbani