Wanawake wengi hawapendi, bali wanatafuta 'sponsor' kwa kigezo cha mahusiano

Wanawake wengi hawapendi, bali wanatafuta 'sponsor' kwa kigezo cha mahusiano

Ulimpendea nini huyo aliyekuumiza?
Moyo wangu ulikuwa haubanduki kwake,nikimwona nasisimka.....nikisikia sauti yake naganda naacha kufanya nilichokuwa nafanya....nikiwa nae karibu ni kama baba yangu (simkumbuki my dad alipass away nikiwa 3 yrs old) Lakini akanipa mimba na kusepa.Sasa mkuu hapo nimebaki na upendo gan moyoni kama siyo dirtyheart
 
Jaribu kumtafuta
 
Nilimwambia bora nife kuliko kurudiana nae,so even to u nasema BORA NIFE KAMA NITAANZA KUMPENDA TENA.It's better to die aisee
Huyo mtoto akikuwa atamtaka baba yake, si ajabu akawa na mapenzi makubwa zaidi kwa baba yake.
 
Ni kweli kwa mfano mimi moyo wangu umebutuliwa mno napenda mtu akiwa ananitunza,ila wale wanaoanzaanza ndo hukopa hadi vikoba walee wawapendao kwa dhati....mi nakumbuka nishawahi kujipa bill kabisa ya kumjazia mafuta gari yake kwa mshahara wangu wa ualimu😛😛😂
Sasa kwani kuna ubaya gani kumlipia mpenzi mafuta jamani. Mbona sie tunawahonga hela nyingi tuu kisa utelezi
 
Nilimwambia bora nife kuliko kurudiana nae,so even to u nasema BORA NIFE KAMA NITAANZA KUMPENDA TENA.It's better to die aisee
Umefika mbal sana..na hii ni kwasabb ulikuwa mgen wa mapenz
Kila sku watu wanaunizwa na kuumiza, usilazimishe dunia ikuelewa badala yakr ww uielewe dunia
 
Wenyewe wanadai kwamba wao wako Kwa ajiri ya kuhudumiwa.

Ukiwauliza wao wana mhudumia nini mwanaume?Watakujibu sex
Kweli wao hudum yao ni sex ila sasa tatizo wanakera pale wanaposema kiwa ugegegede mbususu yao tuu
 
Jamani mimi i mgumu sana kutoa pesa yanggu kwa mwanamke.Yan ni mgumu kishenz mpaka muda mwingine najichukia sijui natokaje kwenye hik kifungo.Yan nikishanusa tu harufu ya kupigwa mzinga natoka mbio kama askar wa ukraine mbele ya warusi.kwakifupi siwez kuhonga haga 10k kisa mbususu...siweziiiii
 
Back
Top Bottom