Wanawake wengi hawapendi, bali wanatafuta 'sponsor' kwa kigezo cha mahusiano

Wanawake wengi hawapendi, bali wanatafuta 'sponsor' kwa kigezo cha mahusiano

MLETA UZI UTAKUWA UMETUGUSA WANAUME WENGI, YANI WANAWAKE SIKU HIZI WANPIGA VIZINGA MPAKA MWANAUME UNAJIULIZA HIVI KAMA NISINGEKUA NA MAHUSIANO NAE ANGEPATA WAPI HAYA MAHITAJI ANAYONISUMBUA NAYO KILA SIKU?
MPAKA BAADHI YA WANAUME SASA TUNAOGOPA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO MAANA TUTAGEUZWA ATM MACHINE NA HII INAWAPUNGUZIA WANAWAKE WENGI SIFA YA KUOLEWA.
 
Tunaitaji mtaala wa elimu ya mapenzi na mahusiano ifundishwe kuanzia form onee

Maana viwanda vimetushinda
 
Nimepata uzoefu huu, kupitia mazingira mbalimbali ya kimahusiano. Kila niliyekuwa nakutana naye, awe ameajiriwa, amejiajiri, yuko chuo, au hana ajira; wote wanaomba fedha za matumizi pamoja na gharama za kuendesha maisha yao.

Unaweza kushangaa mtu ameajiriwa au amejiajiri na ana kipato kizuri tu, lakini mwisho wa siku atataka akubane wewe mwanaume kwa kila kitu. Wakati katika mahusiano kila mmoja ananufaika na uwepo wa mwenzie, mbali na kumtolea gundu la kutokuwa kwenye mahusiano.

Sasa, najiuliza ni nini maana ya mapenzi; Ikiwa, wao wanawatumia wanaume kama wafadhili wa maisha yao, kwa kigezo cha kuwa kwenye mahusiano?

Hii hali imesababisha wadada wengi kutokuolewa, kutokana na kuendekeza mambo ya kumtumia mwanaume kama mfadhili wa kutimiza malengo yao ya kiuchumi.
Kuolewa/kutokuolewa hakuhusiani na hizi sbb,sio kweli!
 
Jamani mimi i mgumu sana kutoa pesa yanggu kwa mwanamke.Yan ni mgumu kishenz mpaka muda mwingine najichukia sijui natokaje kwenye hik kifungo.Yan nikishanusa tu harufu ya kupigwa mzinga natoka mbio kama askar wa ukraine mbele ya warusi.kwakifupi siwez kuhonga haga 10k kisa mbususu...siweziiiii
Huna hela
Wanaume wenye hela hata hawapati shida,wanatoa tu
 
MLETA UZI UTAKUWA UMETUGUSA WANAUME WENGI, YANI WANAWAKE SIKU HIZI WANPIGA VIZINGA MPAKA MWANAUME UNAJIULIZA HIVI KAMA NISINGEKUA NA MAHUSIANO NAE ANGEPATA WAPI HAYA MAHITAJI ANAYONISUMBUA NAYO KILA SIKU?
MPAKA BAADHI YA WANAUME SASA TUNAOGOPA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO MAANA TUTAGEUZWA ATM MACHINE NA HII INAWAPUNGUZIA WANAWAKE WENGI SIFA YA KUOLEWA.
Usingekuwa na mahusiano nae ww angekuwa na mwingine!
Halafu ukiona unapigwa mizinga ujue we sio mtoaji,mwanaume anaetoa hata asubiri aombwe hela!

Unakuwa tu hujampenda mtu,hata haihusiani na kuolewa kwa mtu!
 
MLETA UZI UTAKUWA UMETUGUSA WANAUME WENGI, YANI WANAWAKE SIKU HIZI WANPIGA VIZINGA MPAKA MWANAUME UNAJIULIZA HIVI KAMA NISINGEKUA NA MAHUSIANO NAE ANGEPATA WAPI HAYA MAHITAJI ANAYONISUMBUA NAYO KILA SIKU?
MPAKA BAADHI YA WANAUME SASA TUNAOGOPA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO MAANA TUTAGEUZWA ATM MACHINE NA HII INAWAPUNGUZIA WANAWAKE WENGI SIFA YA KUOLEWA.
Wee wapelekee moto tuu mwanawane. Usiweke ndani
 
Ni kweli kwa mfano mimi moyo wangu umebutuliwa mno napenda mtu akiwa ananitunza,ila wale wanaoanzaanza ndo hukopa hadi vikoba walee wawapendao kwa dhati....mi nakumbuka nishawahi kujipa bill kabisa ya kumjazia mafuta gari yake kwa mshahara wangu wa ualimu😛😛[emoji23]
Noma sana!
 
Kuna uzi humu uliletwa jinsi ya kuishi na manzi wa namna hii aisee nimejaribu nimekua master of the game.Mbususu unakula with Minimum costs [emoji4]
Tutag basi na sisi basi maana hili tatizo la kuombana limekuwa SUGU kuliko hata Mr Two kiasi kwamba hadi wake zetu wanatutadangia humu kwenye ndoa
 
Ni kweli kwa mfano mimi moyo wangu umebutuliwa mno napenda mtu akiwa ananitunza,ila wale wanaoanzaanza ndo hukopa hadi vikoba walee wawapendao kwa dhati....mi nakumbuka nishawahi kujipa bill kabisa ya kumjazia mafuta gari yake kwa mshahara wangu wa ualimu😛😛[emoji23]

Afu inaonekana walimu munaongoza kwa kuwakopea mamilioni hao wanaume matapeli
 
Back
Top Bottom