Wanawake wengi hawapendi, bali wanatafuta 'sponsor' kwa kigezo cha mahusiano

MLETA UZI UTAKUWA UMETUGUSA WANAUME WENGI, YANI WANAWAKE SIKU HIZI WANPIGA VIZINGA MPAKA MWANAUME UNAJIULIZA HIVI KAMA NISINGEKUA NA MAHUSIANO NAE ANGEPATA WAPI HAYA MAHITAJI ANAYONISUMBUA NAYO KILA SIKU?
MPAKA BAADHI YA WANAUME SASA TUNAOGOPA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO MAANA TUTAGEUZWA ATM MACHINE NA HII INAWAPUNGUZIA WANAWAKE WENGI SIFA YA KUOLEWA.
 
Tunaitaji mtaala wa elimu ya mapenzi na mahusiano ifundishwe kuanzia form onee

Maana viwanda vimetushinda
 
Kuolewa/kutokuolewa hakuhusiani na hizi sbb,sio kweli!
 
Huna hela
Wanaume wenye hela hata hawapati shida,wanatoa tu
 
Usingekuwa na mahusiano nae ww angekuwa na mwingine!
Halafu ukiona unapigwa mizinga ujue we sio mtoaji,mwanaume anaetoa hata asubiri aombwe hela!

Unakuwa tu hujampenda mtu,hata haihusiani na kuolewa kwa mtu!
 
Wee wapelekee moto tuu mwanawane. Usiweke ndani
 
Noma sana!
 
Kuna uzi humu uliletwa jinsi ya kuishi na manzi wa namna hii aisee nimejaribu nimekua master of the game.Mbususu unakula with Minimum costs [emoji4]
Tutag basi na sisi basi maana hili tatizo la kuombana limekuwa SUGU kuliko hata Mr Two kiasi kwamba hadi wake zetu wanatutadangia humu kwenye ndoa
 

Afu inaonekana walimu munaongoza kwa kuwakopea mamilioni hao wanaume matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…