Kwanini asingeniacha mapema kabla hajajipata anasubiri tu aone mwangaza ndio ajichomoe betri? Alikuwa anasubiri nini? Na unafikiri kwamba nitaona ni kawaida tu kaniacha labda kachoka na sio kwamba kajipata? Unataka ni-sugarcoat kitu ambacho kiko wazi? Huoni kama nimepotezewa muda mpaka hapo?Kwanini wewe unafikiri mwanaume akijipata hana haki ya kukuacha? Una tangiable value yoyote uliongeza kwenye hustles zake mpaka ujione upo entitled kwenye mafanikio yake?
Sasa hao mpaka wanaongea hivyo kuna mambo wameshayaona yatawafaa huko katika level zao huwezi kutulinganisha wanawake wote na wanawake wa mitandaoni au wanaodanga kimataifa!Sisemi kwamba mwanaume anaonewa, offcourse yoyote ambae ana nguvu ya kufanya maamuzi lazima atakua ruthless. Power don't meant to be polite.
Ninachotaka kukiongea hapa ni unrealistic expectations mlizonazo wanawake. Ukipita huku utasikia mahari yangu milioni 500,ukipita kule utasikia mwanaume mwenye kipato chini ya milioni mbili asioe. Unabaki kujiuliza hawa wanawake wanaongea haya kwa kufanya rejea ya uchumi huu huu wa bongo au wanafanya rejea ya uchumi wa monaco ambapo wanaishi matajiri tu.!
Kumbuka unajadili na wanaume watu wazima, please usiandike vitu vya kufikirikaMimi hakuwa naye nna uhakika maana tulikuwa tunatumia simu moja, kila sehemu tunazunguka wote
Yaani tena ndo mnapataga shida hatari.Kwa sisi wanaume tusio nacho nako kwa moto😁
Kwenye talking stage ya utongozaji, ukimuomba mwanaume tsh elf 10 hata kama una nia nzuri, mwanaume anakimbia, urafiki unaishia hapo hapo, hata kukutongoza anaghairi..
Wadada wengi siku hizi wamejanjaruka,, ukimkimbia kwasababu hiyo, hata usipomwambia anajua kabisa umemkaushia kwa sababu kakupiga kizinga, ila kukwambia ndo hawezi😂 Shadeeya shibela Seran
Hivi suala la kutafuta pesa ni la wanaume pekee?Yaani tena ndo mnapataga shida hatari.
Ila kuna muda mnapata wa kufanana nao Mkuu nikimaanisha mwenye uelewa wa kuwa kuna kupata na kukosa kwamba ukikosa leo kesho utapata. Japo kwa zama hizi ni wa kuhesabu hao.
Mwisho wa siku Suluhisho linabakia kupambana tu yaani wanaume mtafute njuruku. 💵
Sifikirii natoa ushuhuda kwa style ya kukuelewesha maana unabisha!Kumbuka unajadili na wanaume watu wazima, please usiandike vitu vya kufikirika
Ni la wote.Hivi suala la kutafuta pesa ni la wanaume pekee?
Sa itakuwaje rafiki? 😃Kwa maisha haya hata sie wanaume hatutaki Wanawake maskini
Ugumu wa MaishaUnadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
Kwamba mlikuwa mnazunguka na huyo bwana ako 24/7 kama paka na mkia wake? How this possible?Sifikirii natoa ushuhuda kwa style ya kukuelewesha maana unabisha!
Naona unalazimisha huyo mdogo wangu Seran akubali kwamba huyo jamaa yake hakukosa hiyo unayooita necha yenu wanaume. LolKwamba mlikuwa mnazunguka na huyo bwana ako 24/7 kama paka na mkia wake? How this possible?
Tofautisha mtu kutoeleweka kwasababu ya tabia zake ambazo zimechangiwa na maadili mabovu.Hmm u went too far! Kwani hujawahi kuona binti yako ana kakijana hakaeleweki na huoni wakifika popote? Hata mtaani tu hujakutana na binti anayekaribia kuharibiwa maisha ukasikia ukakasi na hata hakuhusu?
Achana na wale waliojitambua wakaanza maisha wameamua kuingia ndoani, kuna mwanga unaouona kama mzazi
Its possible hujaona yote am telling you!Kwamba mlikuwa mnazunguka na huyo bwana ako 24/7 kama paka na mkia wake? How this possible?
Viumbe wote duniani majike huwa hawapendelei madume/wanaume dhaifu/masikini/losers, tena shukuru katika jamii ya binadamu kuna unafuu kiasi kwa sababu Kuna wanawake wachache huwa hawajali au wanawake waliofanikiwa huwa tayari kuwahudumia wanaume wa aina hiyo. Hili ni somo katika evolutionHii hoja ipo katika mfumo wa kujitetea na si katika ukweli harisi, badilikeni nyie wadada wa mjini mnahangaisha mioyo ya vijana mitaani.
Katika jamii za viumbe wote duniani majike/wanawake hawapendelei sana madume/wanaume dhaifu/masikini/losers, tena shukuru katika jamii ya binadamu kuna unafuu kiasi kwa sababu Kuna wanawake wachache huwa hawajali au wanawake waliofanikiwa huwa tayari kuwahudumia wanaume wa aina hiyo. Hili ni somo katika evolution,Unadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
We ulimsaidiaje yeye kujipata?Hongera ila mwanaume mwenzio huku hatukufika popote..
Hahaha, raisi wa ma jobless pro max nime cheka sana.Kumbuka unajadili na wanaume watu wazima, please usiandike vitu vya kufikirika
Pesa pekee sio ukamilifu anaouhitaji mwanamke kumfanya atulie.Viumbe wote duniani majike huwa hawapendelei madume/wanaume dhaifu/masikini/losers, tena shukuru katika jamii ya binadamu kuna unafuu kiasi kwa sababu Kuna wanawake wachache huwa hawajali au wanawake waliofanikiwa huwa tayari kuwahudumia wanaume wa aina hiyo. Hili ni somo katika evolution