Mabinti wanapotea sana Mkuu kwa kuwa na matarajio yasiyo sahihi.Wengi wa aina hiyo wanakuwa wametokea kwenye familia za kimasikini.
Huwa najiuliza, hivi wao hawajiulizi ni kwanini Mama zao waliwavumilia Baba zao kujenga familia katika hali ya umasikini?
Kama hela ni jambo la muhimu mwanaume kuwa nalo ili kudumisha mahusiano, kwanini Baba zao hawana?
Hapa kuna tabia inajengeka.
Kwamba Mwanamke anaiona thamani ya mwanaume pale tu ambapo huyo mwanaume atakua na hela.
Na sasa mwanaume akiwa na hela unakuwa unamtengenezea mazingira ya kutoona value ya mahusiano kwasababu anajua uko hapo kwasababu ya hela zake.
Automatically hiyo inakuwa inamkata stimu emotionally.
Halafu baadaye jamii inaanza kuwalaumu wanaume kwanini hawaoi.Mabinti wanapotea sana Mkuu kwa kuwa na matarajio yasiyo sahihi.
Na hii imepelekea wanawake wengi kubaki masingle mother au kukaa hadi umri mrefu zaidi bila kuwa ndani ya ndoa.
Kwa wanyama wote pamoja na binadamu kiasharia cha kwanza cha dume/mwanaume kuwa imara ni afya bora ya mwili kuweza kuzalisha watoto, kuwinda(kwa wanyama), kujilinda na kulinda waliomzunguka na kwa binadamu inaongezeka uwezo wa kifedha.Pesa pekee sio ukamilifu anaouhitaji mwanamke kumfanya atulie.
Mwanamke haitaji kitu kimoja pekee. Ni package ya vitu vingi.
Mwanamke ni mtu mwenye asili ya matamanio kwenye mambo ambayo yako nje ya uwezo wake.
Anaweza kuwa na desire saizi ya kuwa na mwanaume mwenye hela ni kwasababu kwa wakati huo anaishi maisha magumu.
Lakini akimpata mwenye hela, anapanda thamani na saizi matamanio yake yanavuka viwango yanakuwa sio tena pesa.
Hapo utamuona akianza kuvutiwa na wanaume wenye vipaji, au wanaume ambao ni maarufu.
Unaweza kuwa na hela halafu hauna kipaji cha kucheza mpira, mwisho wa siku mke wako akatoka na athlete.
Ukiwa mcheza mpira na hauna six pack, utagongewa na Gym trainer.
Ukiwa na six pack na huna mpini mkubwa, utagongewa na kina mandingo wa mtaa.
Sijui ni hapa ninapoishi au ni kote. Ila single mothers kwa mabinti hadi wamama ni wengi sana saana mkuu.Halafu baadaye jamii inaanza kuwalaumu wanaume kwanini hawaoi.
Wakati jamii imesha set demand za sifa ya mwanaume muoaji kuwa ni lazima awe na pesa.
Uwezo wa kifedha wa shilingi ngapi?Kwa wanyama wote pamoja na binadamu kiasharia cha kwanza cha dume/mwanaume kuwa imara ni afya bora ya mwili kuweza kuzalisha watoto, kuwinda(kwa wanyama), kujilinda na kulinda waliomzunguka na kwa binadamu inaongezeka uwezo wa kifedha.
Ambao utamfanya mwanamke awe na uhakika wa kula yeye na familia vizuri, wa kumpa mavazi, makazi, huduma za afya na usafiri bora.Uwezo wa kifedha wa shilingi ngapi?
Daah! Wakati napanga kukuita uje kuniokoa kwenye hii debate, kumbe mmeungana kunichangia.Naona unalazimisha huyo mdogo wangu Seran akubali kwamba huyo jamaa yake hakukosa hiyo unayooita necha yenu wanaume. Lol
Kuna watu wana mapenzi ya kipekee Kipenzi Changu.
Kama walikuwa hadi wanatumia Line moja sio mchezo eti.
Chakula, makazi na mavazi mbona ndio mahitaji ya binadamu wote, sio mwanamke peke yake?.Ambao utamfanya mwanamke awe na uhakika wa kula yeye na familia vizuri, wa kumpa mavazi, makazi, huduma za afya na usafiri bora.
Hiyo Bora ni kwa ajili ya vyote.Chakula, makazi na mavazi mbona ndio mahitaji ya binadamu wote, sio mwanamke peke yake?.
Usafiri bora ni nini?
Usafiri mwingine wowote ambao sio bodaboda, bajaji au dalaladala.Usafiri bora ni nini?
Bado haujawa specificHiyo Bora ni kwa ajili ya vyote.
Chakula Bora/kizuri
Makazi Bora
Mavazi Bora.
OkayUsafiri mwingine wowote ambao sio bodaboda, bajaji au dalaladala.
Mkuu, ungebold kabisa hii post yako. Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa ela ya mwanamke katika maisha yangu, nahitaji awe tu na muonekano mzuri, awe na tabia njema na aniheshimu sana kama mwanaume wake.Mwanaume rijali provider anaejielewa haangalii umaskini wa mwanamke kama kigezo cha kutokumchagua, linapokuja swala la sex au ndoa, wanaume wengi hatujali kama huna hela, huna nguo nzuri, huna kazi, huna pa kulala unalala chini ya mwembe, kikubwa sana kwenye macho yetu uwe na muonekano mzuri na tabia inayoridhisha Kelsea
Usimuwekee binadamu matarajio yako yote, kuwa tayari kukutana na disappointments muda wowote. Mapenzi yabaki kuwa mapenzi na hela ibaki kuwa hela. Ukiweka macho kwenye hela maana yake hata yule uliemkuta akiwa na hela anaweza kuyumba kwa maana hiyo hautaona sababu ya kubaki nae kama ulichokifuta hakipo tena, au nae pia anaweza kutokukuthamini kwa sababu haujapitia nae magumu.Kwanini asingeniacha mapema kabla hajajipata anasubiri tu aone mwangaza ndio ajichomoe betri? Alikuwa anasubiri nini? Na unafikiri kwamba nitaona ni kawaida tu kaniacha labda kachoka na sio kwamba kajipata? Unataka ni-sugarcoat kitu ambacho kiko wazi? Huoni kama nimepotezewa muda mpaka hapo?
Hiyo ni Sayansi ya kikanjanja,Bado haujawa specific
Kwanza kwa mujibu wa sayansi ya vyakula, chakula bora ni mchicha wa kuchemsha na sio baga wala piza.
Je unataka kunambia hayo ndio matamanio ya wanawake wanaosema wanataka mwanaume mwenye hela?
If you love someone you never make it hard for him/her to get to you.What if anakupenda tu
Nimetolea mfano tu kuonyesha jinsi mlivyo unrealistic lakini simaanishi kwamba wote mtakua identical hapo kwenye mfano wa mahari. Katika situation yako unrealistic expectation inaweza kuwa ni imani kwamba mara zote kosa ni la mwanaume tu, kwamba nyie wanawake hamna flaws zozote.Sasa hao mpaka wanaongea hivyo kuna mambo wameshayaona yatawafaa huko katika level zao huwezi kutulinganisha wanawake wote na wanawake wa mitandaoni au wanaodanga kimataifa!
Mimi nimekutana na winga tukaanzia chini winga akaniacha, nimeanz amahusiano mengine nianze kukurupuka nataka mahali mls500??? Haiingii akilini so far! Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba!
Utaweza tuYani nikomae nae mpaka tunadharaulika na kila mtu, halafu aokoteze viela vya kubadili mboga ndio aanze kula pembeni! Uweeeh! Siwezi..