SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Manaa wakisha pata boxer zakubadilisha wewe ni takataka mbwa nyoko wewe nimekaa na mtu miaka mitatu nampelekea chakula cha home na mpikia namfulia nakama kuna vipesa nampa ili aende kununua material muda simuda akaenda kumuona mzungu akamuoa wameshazaa mtoto ni mdogo anakuja kwa dharau mimi nimeshaoa ila unaweza kuw amke mdogo sintopinga ili nikurudishie fadhila zako kweli nilikaa nawewe miaka yote mimu nikafanywe hawara kweli hii ni aibuUnadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
Hio ni infinite😂 huwezi kuipima ila condition ni kumudu luxuries anazopenda mwanamke. Wengi wakiona humudu kuwapa luxury lifestyle wanasneak out.Kwani hao vibopa wenye mawe wanaotoka na pisi kali unadhani hawagongewi?
Tena anaweza kuliwa na msafisha kucha tu au muuza genge.
Swala la mtu kuwa na hela ni swala ambalo liko subjective.
Ni kiasi gani ambacho mtu akimiliki atapata recognition ya kuwa ni mtu mwenye hela?
Na wanaposema mwanamke anataka hela, anataka shingapi?
Ni kiasi gani cha pesa kinachomtosha mwanamke ili aonekane yupo kwenye mahusiano sahihi?
Inazingatia mtakula nini au girlfriend wako ni robot kuna kuvaa kupendeza mtu akishiba hata kuliwa anakuwa ananguvu .Tuupige vita umasikini kwa nguvu zetu zote.
vilevile true love haizingatii money.
Hiyo ni Sayansi ya kikanjanja,
Baga, pizza, chips kuku n.k havina shida na mchicha sio Bora kuliko hivyo kwa sababu huwezi kulinganisha mchicha dhidi ya protein au wanga.
Luxuries nazo ni subjective.Hio ni infinite😂 huwezi kuipima ila condition ni kumudu luxuries anazopenda mwanamke. Wengi wakiona humudu kuwapa luxury lifestyle wanasneak out.
If she supported you when you was broken and now you got rich.Inazingatia mtakula nini au girlfriend wako ni robot kuna kuvaa kupendeza mtu akishiba hata kuliwa anakuwa ananguvu .
MImi kwa nilipofikia mtu maskini hapana .
NImekuwa chambo la kuwa saidia wanaume maskini watajirike na wanaoa wengine wakitajirika kwa sasa huna hela niache tu. Siwezi maisha naudhubutu wakuishi kwa shida kisa watoto wawatu.
Acha acha waseme wakisema mchana eh usiku watalala
Vipi tukija kwenye realitic mkuu. Tuna wanaune wenye hela wa kutosha kuoa wanawake wote kwenye dating pool? Kumbuka mwanaume anafika umri wa mtu mzima akiwa bado ni mwanafunzi au tegemezi kwa wazazi tofauti na mwanamke yeye anafika huo umri akiwa ready made.Katika jamii za viumbe wote duniani majike/wanawake hawapendelei sana madume/wanaume dhaifu/masikini/losers, tena shukuru katika jamii ya binadamu kuna unafuu kiasi kwa sababu Kuna wanawake wachache huwa hawajali au wanawake waliofanikiwa huwa tayari kuwahudumia wanaume wa aina hiyo. Hili ni somo katika evolution,
Ni almost kila sehemu mkuu, kwa sasa imekua nadra sana kukuta hizi extended family zetu hazina single mother.Sijui ni hapa ninapoishi au ni kote. Ila single mothers kwa mabinti hadi wamama ni wengi sana saana mkuu.
😀😀😀 It called brotherhoodIf she supported you when you was broken and now you got rich.
Leave her so she can help another brother.
Hahahaaa. Niite tu ntabadili gia angani. 🤪Daah! Wakati napanga kukuita uje kuniokoa kwenye hii debate, kumbe mmeungana kunichangia.
Ngoja aje atujibu hili ni swali lake bila shaka.Kutumia line 1 kunamzuiaje mtu kuchepuka? Huyo man unakuwa naye ndani tu kama mwali mkiburudishana? Hatoki kwenye mishe? Hasafiri?
Tulikuwa tunapambana woteWe ulimsaidiaje yeye kujipata?
Kupishana kupo kwenye mahusiano yote, lakini kitendo cha kuanzisha mapenzi mapya tayari ni sababu ya kuachwaSababu hasa ya wewe kuachwa ni hiyo ya kujipata au kulikuwa na sababu zingine?
Alifanikiwa, kwa sasa karudi kulekule(mwanzo)Hali yake ya kiuchumi saivi ipoje?
Mambo ni mengi sana ila alivyoishiwa kwanini tena akanikumbuka?Nimetolea mfano tu kuonyesha jinsi mlivyo unrealistic lakini simaanishi kwamba wote mtakua identical hapo kwenye mfano wa mahari. Katika situation yako unrealistic expectation inaweza kuwa ni imani kwamba mara zote kosa ni la mwanaume tu, kwamba nyie wanawake hamna flaws zozote.
Kwanini umehitimisha moja kwa moja kwamba winga aekuacha sababu kapata hela? offcourse pesa zinampa mtu uwezo wa kuondoka pale ambapo anaona amedharauliwa au sio hadhi yake tena, lakini wewe mwenyewe ushawahi kujifanyia tathmini na kugundua upo perfect kabisa?
katika mapenzi yenu kabla winga hajapata hela hakuna sehemu ulimuinyesha disrespects lakini akaamua kuendelea tu na wewe kwa sababu wakati huo hakuwa na options zingine?
Umenikimbusha ishowspeed kwenye tour yake Nigeria alivyokuwa akiombwa hela, raia wengi wa Nigeria waliona kama wamedhalilishwa na hao watu kwa hiyo tabia.If you love someone you never make it hard for him/her to get to you.
Kuanza kuomba omba hela kabla hamjafahamiana na mtu vizuri ni sign mbaya haijalishi unapenda kweli au unatania its a redflag
Muda mwingine labda ni vile tu alikua hajazoea hela, ungemvumilia kidogo tu mngekua mnasherekea miaka yenu 10++ ya ndoa mkiwa na watoto wenu.Kupishana kupo kwenye mahusiano yote, lakini kitendo cha kuanzisha mapenzi mapya tayari ni sababu ya kuachwa
Ni kawaida. Mara nyingi kama mlipambana pamoja mkasapotiana mkiachana lazima kudrop ila kama mwanaume ulijipata ndo ukaoa ni either utamaintain au kudrop kidogo ila kwenda viral ni ngumu ndo maana vijana wengi wenye mianzo mizuri ya kimaisha wakioa wanakua wa kawaida.Alifanikiwa, kwa sasa karudi kulekule(mwanzo
Mtakacho ku gainWanapambana wote!
Kumbe! Basi sio kosa langu! Mtu ameshakwmabia humfai sio mwanamke anayemtaka utalazimishaje hapo? Miaka 10 hmm sio kweli!Muda mwingine labda ni vile tu alikua hajazoea hela, ungemvumilia kidogo tu mngekua mnasherekea miaka yenu 10++ ya ndoa mkiwa na watoto wenu.
Ni kawaida. Mara nyingi kama mlipambana pamoja mkasapotiana mkiachana lazima kudrop ila kama mwanaume ulijipata ndo ukaoa ni either utamaintain au kudrop kidogo ila kwenda viral ni ngumu ndo maana vijana wengi wenye mianzo mizuri ya kimaisha wakioa wanakua wa kawaida.
Narudia tena, hiyo ni Sayansi ya kikanjanja.Hiyo siyo ‘sayansi ya kikanjanja’ kama unavyodai.
Utafiti wa lishe umeonyesha wazi kiwa mboga mboga na vyakula vya asili vina vitamini, madini na fiber ambavyo burger na pizza havina.
Na hata hizo wanga na protein hazipo kwa kiwango kikubwa.
Vyakula vya fast food vina mafuta mengi, sukari na chumvi kupita kiasi na vinahusishwa moja kwa moja na kisukari, shinikizo la damu na unene.
Kwa maana hiyo kwa mwanaume ambaye anampenda mke wake, basi piza, baga na vyakula vingine junk food hawezi kuruhusu mke wake ale.
Wanaume katika jamii nyingi huwa na mwanamke zaidi ya mmoja(katika dini ya Kiislamu wanaoa kabisa rasmi wanawake zaidi ya mmoja, kwa upande wa Wagalatia wanaume wengi pia wana mke zaidi ya mmoja ingawa sio rasmi).Vipi tukija kwenye realitic mkuu. Tuna wanaune wenye hela wa kutosha kuoa wanawake wote kwenye dating pool? Kumbuka mwanaume anafika umri wa mtu mzima akiwa bado ni mwanafunzi au tegemezi kwa wazazi tofauti na mwanamke yeye anafika huo umri akiwa ready made.
Harafu tuangazie kidogo ile sera ya usawa wa kijinsia. Kuna umuhimu wowote kumpa girl child fursa ya elimu na ajira kama mwisho wake ataishia ku-demand lifetime security and provision kutoka kwa mwanaume?
Sayansi ya lishe huijui, ndio utaweza kujua mwanamke anahitaji nini?Narudia tena, hiyo ni Sayansi ya kikanjanja.
Kwanza, Binadamu anahitaji vitamin, madini, wanga, na protein. Mchicha hauna protein au wanga, burger na pizza vina protein na wanga.
Pili, Kuna watu wengi tu wanashindia ugali, mihogo, vitumbua, dagaa na mchicha na bado wana viribatumbo. Tatizo sio burger, pizza au chips bali unakula kiasi gani na unafanya kazi ya aina gani.