Unapigia mbuzi gitaa brother. Wanawake hawana ufahamu wa kutambua reasoning unayopresent hapa. Wanajali emotions zao tu.Halafu unavyosema eti personally hauwezi kuhandle cheating, wakati huo kichwani mwako unatembea na imani ya kwamba sisi wanaume ni wachepukaji siku tukijipata.
Hapo ni sawa na kusema "mimi sipendi kula nyama, ila napenda kula mchuzi wake ukiwekewa limao na pilipili".. yaan haupendi nyama ila unapenda kinachotokana na nyama.
Hivyo hivyo pia na wewe kwa kauli yako hii ni kwamba hauko tayari kuvumilia usaliti wa mwanaume kapuku mliyeanza naye chini, ila uko tayari kuvumilia usaliti wa mwanaume uliyemkuta na mihela yake.
Ungekuwa kweli wewe huwezi kuvumilia cheating, basi hata wazo la kuolewa haukupaswa kuwa nalo kabisa kwa sababu akilini mwako wanaume wote umeshatuweka kwenye group moja kuwa ni wachepukaji mara tu tupatapo hela.
UsikaririHalafu unavyosema eti personally hauwezi kuhandle cheating, wakati huo kichwani mwako unatembea na imani ya kwamba sisi wanaume ni wachepukaji siku tukijipata.
Hapo ni sawa na kusema "mimi sipendi kula nyama, ila napenda kula mchuzi wake ukiwekewa limao na pilipili".. yaan haupendi nyama ila unapenda kinachotokana na nyama.
Hivyo hivyo pia na wewe kwa kauli yako hii ni kwamba hauko tayari kuvumilia usaliti wa mwanaume kapuku mliyeanza naye chini, ila uko tayari kuvumilia usaliti wa mwanaume uliyemkuta na mihela yake.
Ungekuwa kweli wewe huwezi kuvumilia cheating, basi hata wazo la kuolewa haukupaswa kuwa nalo kabisa kwa sababu akilini mwako wanaume wote umeshatuweka kwenye group moja kuwa ni wachepukaji mara tu tupatapo hela.
Anachoongea yeye ni too generalUnapigia mbuzi gitaa brother. Wanawake hawana ufahamu wa kutambua reasoning unayopresent hapa. Wanajali emotions zao tu.
kutoa hela ndefu inategemeana na status ya demu yukoje, ni pisi kali au pollygonUnaendaje kupigwa kende kwa 10000?
Hiyo si hela ya maji tu.
Nureen muhindi huyu mara ya mwisho ndo nilimpa 35000.
Na akanirudishia zote asubuhi na kusema niende kwao nikamuoe.
Sijawai kuhonga senti 10 tokea miaka 25 sasa.
Hawa na mwenzie nilikula buure kabisa.
Wanapishana tu chumbanik .
Mwanamke mwenye vision ana uwezo mkubwa wa kuona mwanaume atakayepata mafanikio mbeleni hata kama hana kitu kwa wakati huo.Unadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
Ni hivyo na pisikali nimeondoa kwa sound tu nyiingi.kutoa hela ndefu inategemeana na status ya demu yukoje, ni pisi kali au pollygon
Naona kwenye hili tuko kwenye logical pathways tofauti kabisa, ndio maana hata ulichokiandika sikielewi na sioni kikihusiana vipi na comment yangu.Ninaijua ndani nje na nimeisoma vzr mpk chuo kikuu.. hiyo modernization mnayotaka kuitumia haiapply hapa ila mnaforce tu! Mtu huko kaamka na imaginations zake za kutaka danga liwe na sifa za mume sjui mahari kilo 150 mnakuja kusema ni feminsm ..
Kabisa kaka hata mimi naona nimempigia mbuzi kinanda na gitaa nikitegemea atacheza.Unapigia mbuzi gitaa brother. Wanawake hawana ufahamu wa kutambua reasoning unayopresent hapa. Wanajali emotions zao tu.
Haya Maelezo ni sahihi zaidi kuyasimamia, na kuyaelewesha kuliko hoja zingine unazowaelewesha. Nakusupport katika hili, hii ni Mifumo ya Shetani.Feminism ni silaha anayoitumia shetani kuwaangamiza wanawake kwa kuwapotosha vitu vingi kuhusu maisha.
.
Sasa hii comment yako ndio ilipaswa kukaa pale juu kabisa mwanzoni, kwa sababu imebeba imani unayotembea nayo kichwani kwamba wanaume ni wasaliti tu siku zote wakiwa na hela, na wewe haupendi usaliti hivyo umeamua kukaa pembeni uwapishe wanaoweza.Usikariri
Siwezi vimilia usaliti laa sivyo ningekywa bado kwenye hayo mahusiano yenye usaliti...so nimesema kwa wanaiweza!
Pili oesa sio kila kitu japokuwa ni muhimu kwenye mahusiano sbb kuna mambo lzm yatahitaji mwanaume awe na pesa ...
Life is full of choice ambao hatuwezi tumewapisha wanaoweza ...simple sana
Hongera sana kwa kuwa mmoja ya wanawake majasiri mnaopambana na huu mfumo wa kishetani unaotuharibia kizazi cha wanawake na jamii kwa ujumla.Haya Maelezo ni sahihi zaidi kuyasimamia, na kuyaelewesha kuliko hoja zingine unazowaelewesha. Nakusupport katika hili, hii ni Mifumo ya Shetani.
🤣🤣Tz tupo wanawake 16 tu tunaopinga movement zozote za ukengeukaji kwa bonde la uvuli wa feminism. Baada ya Catherine kahabi nakuja mimi no 16 🤣🤣🤣🤣@nyumba kubwa
Sasa kati yangu na wewe nani ambaye anaongea vitu too general?Anachoongea yeye ni too general
Hawajui tu Umaskini sio sifa..tafuta pesa na si lazima ziwe mabilioni..wewe ukiweza kuhimili mambo ya msingi haya (Food, water, clothing, and shelter) kisawa sawa.Wako sahihi kabisa umasikini ni mbaya sana kaka
Taabu za umasikini ni za kutisha