Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Mwanaume malaya hawezi kubaka mtoto wake au mtoto wa mwenzie. Malaya hawa tabia ya kubaka.Wanaondoka na watoto zao sababu wanajua mnaweza kuwabaka… 😹
Mwanaume mlevi mbwa, malaya muda wote anawaza mbususu.. unaweza kumuachia watoto??
Ukweli mchungu na huwezi badili huu ukweli.Mungu kaumbaUjinga tupu 😹
Wewe ndiye utakua una matatizo! Unataka kuniambia huyo babe mama wako yupo single?Sema uzuri watoto wangu wapo upande wangu , kuishi na mtu mwenye meno 32 ,24hrs inahitaji ujikatae.
Including Baba yako mzazi,babu zako,wajomba yaani Hadi hiyo simbilisi yako uliyoizaa🤣Wanaume wote ni wagonjwa wa akili.!!
Umetoa mimba ngapi!?Bora anaeondoka na watoto wake kuliko kuwaacha mahali ambapo huelewi malezi yao yatakuwaje.... Mwenye uchungu ni anayebeba miezi 9 tumboni
Wanaondoka na watoto zao sababu wanajua mnaweza kuwabaka… 😹
Mwanaume mlevi mbwa, malaya muda wote anawaza mbususu.. unaweza kumuachia watoto??
SawaWewe ndiye utakua una matatizo! Unataka kuniambia huyo babe mama wako yupo single?
Mbona wenzako wanamlilia? Na ukute hapo yeye ndiye alikupiga kibuti...
Why the hateWanaume wote ni wagonjwa wa akili.!!
Sawa🤣Wanaume wote ni wagonjwa wa akili.!!
Mwanaume anayeweza kubaka watoto (wawe wa kuzaa au siyo) atakuwa na matatizo makubwa sana ya akili na anastahili adhabu ya kifungo cha maisha. Hki kisingizio cha mwanamke kusema anaogopa kuwaacha watoto wake kwa mumewe kwa sababu ''anaogopa atawabaka'' hutumiwa sana na wanawake waliokulia kwenye maisha ''rough'' ambako hakuna ustaarabu na zinaa ni jambo la kawaida. Infact ukishaona mwanamke anawaza namna hii basi ujue yeye ana mumewe lazima kuna matatizo makubwa kabisa. Hivi baada ya wewe mama, ni nani zaidi unaweza kumwamini kulea watoto wako? Kama siyo mwanaume uliyezaa naye basi ujue kati yenu kuna mwenye matatizo sana.Wanaondoka na watoto zao sababu wanajua mnaweza kuwabaka… 😹
Mwanaume mlevi mbwa, malaya muda wote anawaza mbususu.. unaweza kumuachia watoto??
Navojua ni wanawake wachache sana waliobeba mimba wakazaa afu aamue kuondoka aache watoto wadogo, hata kama hajui watakula nini atawabeba tuPia wanawake huwa wanaondoka na watoto Kama ngao au kiunganishi Cha mawasiliano na matumizi fulani maana wengi wao huwa wanakua hawana uhakika na wanakoenda akiwa na mtoto anajua hata akisema anaumwa lazima utatuma tu pesa za kuhudumia hata Kama haumwi
Wanaondoka na watoto zao sababu wanajua mnaweza kuwabaka… 😹
Mwanaume mlevi mbwa, malaya muda wote anawaza mbususu.. unaweza kumuachia watoto??
Single maza aliyelelewa na Single maza!!Majibu ya Single Maza.
Angejua nn ?Yupo hapa vile ananiona Niko karibu na Binti zangu wananipenda nawapenda eti ananiambia " siku nikiondoka nao utanikumbuka" kimoyo moyo nacheka tu hihihihi ungejua!!
😹😹😹 Au sio?Majibu ya Single Maza.