Wanawake wengi kwa kujua au kutokujua hujikuta wakifanya vitimbi kwa wenza wao kwa njia zifuatazo

Hakuna mwanamke ambae hua anafanya kitu kwa mwanaume bila kujua. Mwanamke hua anajua kabisa kwamba nafanya kitu fulani kwa sababu fulani ili aone matokeo yatakuaje.

Ukitaka kwenda nae sawa wewe jidai kama hujui kwamba yeye anajua anachofanya, na usimfanye ajue kwamba wewe unajua kwamba anajua anachofanya.
 
Labda ndoto hii itakua😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…