Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kwanini umenitukana Kwanza?We umeamua tu kuchangamasha jukwa
Au ku-seek attention
Ila tambua kuwa wanawake ni kama
psychopaths
Kula chuma hiki kwanza:
Although ni watu special sana, ila kuna kitu hakiko sawa kuhusu wanawake
🙎Species inayoweza kumuelewa mwanamke ni mwanamke mwenzake, ndio maana wanachukiana. 🙅 Ukitaka kupoteza demu, wewe kuwa nice boy uone, then uki react kama bad boy kutokana na ukaidi wao unaitwa muonevu. 🙎 Uwajibikaji wa makosa kwa mwanamke ni kama maji na mafuta. Siku zote kwao anaekosea ni...www.jamiiforums.com
Ndio mkuu. Achana nae.tafuta Amani ya moyo wako maisha ni haya haya
Una maanisha tuachane nao wanaotusumbua
Sasa ukilalamika huku inasaidia nini mwanaume unashindwa kuchukua hatua nyumbani kwako??Wanawake wanalalamika kwa mashoga zao, wanaume wanalalamikia mtandaoni
Hatulalamiki tunaongea Tu yaaniWanalalamika vizuri tu na ndio wanaongoza kulalamika. Huku sababu wengi ni wanaume ndio maanamada nyingi unaona ni za wanaume
Kiasili mwanamke ni mtu mbinafsi , na usijejidanganya kua kuna vitu utamfanyia aridhike haipo hiyo , ukishalijua hilo utampa ziada iliobaki ili hata mbele ya safari usiumie kuwekeza kwake,Mwanaume anaweza vumilia ndoa na mwanamke asiye na Kazi maisha yake yote na ndoa ikawa na amani.
Nitajie ndoa ambayo mwanamke amevumilia miaka 10 na mwanaume asiye na kazi na wakaishi Kwa amani
Mbona wanaume wengi Tu wanaishi bila kazi na wake zao wanatumia familia vizuri TuMwanaume anaweza vumilia ndoa na mwanamke asiye na Kazi maisha yake yote na ndoa ikawa na amani.
Nitajie ndoa ambayo mwanamke amevumilia miaka 10 na mwanaume asiye na kazi na wakaishi Kwa amani
Ni wavumilivu au huwa mnakosa steps na kwa kuelekea?Ukisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao
Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah
Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki.
Tumeumbwa kuvumilia
Pia tunajua jinsi ya kupambana na changamoto
All in all mnaopitia changamoto za ndoa poleni sana.tafuta Amani ya moyo wako maisha ni haya haya
Huo ni uvumilivu au uchaguzi wenu na shida zenu tu?Wanawake tunavumilia mengi, wengine wanawavumilia wasio tahiriwa, wasio na nguvu za kiume, wenye vibamia nk. Hakika tupewe maua yetu
Serikali ifute ndoa tu.
Bora tu ili tuishi kama ngedere-mwitu.Serikali ifute ndoa tu.
Mnavumilia kwa sababu ya hela tu kukiwa hamna hela mtatangaza mtaa mzimaUkisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao
Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah
Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki.
Tumeumbwa kuvumilia
Pia tunajua jinsi ya kupambana na changamoto
All in all mnaopitia changamoto za ndoa poleni sana.tafuta Amani ya moyo wako maisha ni haya haya
Huwa mnavumilia yote gayo kukiwa na hela tuWanawake tunavumilia mengi, wengine wanawavumilia wasio tahiriwa, wasio na nguvu za kiume, wenye vibamia nk. Hakika tupewe maua yetu