Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ukisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao
Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah
Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki.
Tumeumbwa kuvumilia
Pia tunajua jinsi ya kupambana na changamoto
All in all mnaopitia changamoto za ndoa poleni sana.tafuta Amani ya moyo wako maisha ni haya haya