Wanawake wengi wa Kiafrika hawajui kupenda

Kupenda sio kazi yao ni kazi yako wewe hata kwenye biblia imeandikwa usiwabebeshe mzigo wasouweza..
 
Jamii yetu ina tatizo kubwa sana, na tunaolaumiana hatujalitengeneza hilo tatizo, tumelipokea kama mapokeo mengine.

Hapo kwenye kutii ndio kimbembe kilipo, kuna muda utatakiwa kutii hata mambo ya kipumbavu ambayo unaona kabisa Moyoni hii ni hapana. Vijana wa milenia na GeneZ tuna kazi kubwa ya kufanya.

Mimi ndio maana kwenye malalamiko ya kimapenzi huwa najaribu kumuelewa kila mtu kwa upande wake. Maana kila mmoja Ana point yake ya msingi ambayo anaitetea.

Mtu akikuambia hivi, "Ukiwa na tatizo lolote naomba uniambie nitafanya kwa kadri niwezavyo " Wewe binafsi ungechagua kumwambia tatizo lipi na lipi, na lipi usingemwambia? Inahitaji uwe umelelewa vizuri sana ili uchague kubaki na matatizo yako Moroni. La sivyo utamtwisha mtu kesho alete uzi wa kataa ndoa humu.
 
Dunia ni kubwa sana sio lazima uwe na mu-afrika, pia umaskini ndio unafanya wakipewa pesa waone Kama wanapendwa. Over!!!
 
"Ukiwa na tatizo lolote naomba uniambie nitafanya kwa kadri niwezavyo "
Likishaitwa tatizo maana yake katika kulitatua umekutana na ugumu ambao upo nje ya uwezo wako kwa wakati huo either kifedha au kimaarifa kwaiyo ni suala la kuchagua kipi unamudu umalize mwenyewe au kipi kimekupiga knock-out ukifikishe kwa Mr.
 
Hii inatufanya tuishi kwa kuviziana sana na sio kupendana.

Ukijikuta una upendo wa agape, unapunwa kwenye kamali ya mapenzi.
Hakika mkuu yule anayejitoa anaonekana yupo weak. Kikubwa kujipenda kwanza ili kuepukana na hayo yote, ili mahusiano yawe second priority maana kweli kabisa ukipata mwafrika asiejilewa lazima udate.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo ndio mzuri mate usimuache ww tulia km maji mtungini
 
Upate ajira sasa uache kutuponda πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo mnashindana na maneno ya Mungu. Sisi tumeambiwa tuwatii hiyo kazi ya kupenda ni yenu jamani mbona mnakimbia majukumu??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo ndio mzuri mate usimuache ww tulia km maji mtungini
Tatizo watoto wa farao wanamstua oyaaa!!! Somo la kamati ya roho mbaya siku likimuingia nitalia na mizimu ya kwetu mate! 🀣🀣

Ila anabahati mi wenyewe bro! invoices nazompasia ni ndogo sana.
 
Salamaleko
 
Tatizo mnashindana na maneno ya Mungu. Sisi tumeambiwa tuwatii hiyo kazi ya kupenda ni yenu jamani mbona mnakimbia majukumu??
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hata sisi tumeambiwa tuwapende, Mungu hajatupa maagizo ya kuwapa hela.
 
Tatizo watoto wa farao wanamstua oyaaa!!! Somo la kamati ya roho mbaya siku likimuingia nitalia na mizimu ya kwetu mate! 🀣🀣

Ila anabahati mi wenyewe bro! invoices nazompasia ni ndogo sana.
Au utakuwa unakosea vitu unavyompa, hao wasukuma wanapenda mashati ya maua ya kung’aa 🀣🀣🀣🀣
Wewe unampa brand hazielewi ohhh!!

Tuachane na hayo mate ila wanaume wa hivyo wako vizuri sana.!! Hana tabia za ki marioo anajua jukumu lake, ww ni β€œhumu tuu” mwendo wa paka chongo hakuna kutoa pesa, kwanza wanawake hatuna pesa 🀣🀣🀣
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hata sisi tumeambiwa tuwapende, Mungu hajatupa maagizo ya kuwapa hela.
Sisi tunachojua nyie ndio bank zetu, hayo ya kutoa ukimpata unayempenda wala hutoombwa pesa utatoa mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na hatufanyi kazi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† na tunakofanya kazi hatulipwi. 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…