Wanawake wengi wa Kiafrika hawajui kupenda

Wanawake wengi wa Kiafrika hawajui kupenda

Kupenda sio kazi yao ni kazi yako wewe hata kwenye biblia imeandikwa usiwabebeshe mzigo wasouweza..
 
Hii ndio saikolojia ya muafrika aliyomaanisha jamaa maana kagusa na upande wa mwanaume pia tunajua mapenzi sisi ni providers tu. Ofcourse hata mimi siwezi kuruhusu mpenzi wangu aingie gharama wakati najua uwezo wake ni wa chini au mdogo sana ukilinganisha na uwezo wangu., kwa hii kesi yako hapa muhimu tu usiwe dependent too much yaani vitu vidogo vidogo unavyovimudu maliza tu we mwenyewe, kuna wakina dada wakipata chance kama yako watataka hata mkipanga kukutana umlipie mpaka nauli ya kumtoa alipo
Jamii yetu ina tatizo kubwa sana, na tunaolaumiana hatujalitengeneza hilo tatizo, tumelipokea kama mapokeo mengine.

Hapo kwenye kutii ndio kimbembe kilipo, kuna muda utatakiwa kutii hata mambo ya kipumbavu ambayo unaona kabisa Moyoni hii ni hapana. Vijana wa milenia na GeneZ tuna kazi kubwa ya kufanya.

Mimi ndio maana kwenye malalamiko ya kimapenzi huwa najaribu kumuelewa kila mtu kwa upande wake. Maana kila mmoja Ana point yake ya msingi ambayo anaitetea.

Mtu akikuambia hivi, "Ukiwa na tatizo lolote naomba uniambie nitafanya kwa kadri niwezavyo " Wewe binafsi ungechagua kumwambia tatizo lipi na lipi, na lipi usingemwambia? Inahitaji uwe umelelewa vizuri sana ili uchague kubaki na matatizo yako Moroni. La sivyo utamtwisha mtu kesho alete uzi wa kataa ndoa humu.
 
Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku.

Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake wengi ila sio wote wa Kafrika au weusi kwa ujumla hawajui maana ya kupenda. Wengi wao wanaigiza kupenda ili wajikwamuwe kimaisha. Mwanamke wa Kiafrika akitaka kukuonyesha upendo sana sana atakununulia zawadi, hata yeye, akinunuliwa zawadi au akipewa pesa basi anajuwa anapendwa.

Wanawake wengi weusi wanajua kupendwa maana yake ni kupewa vitu au kuwa saidia kuwatoa kwenye umasikini. Mimi nayasema haya kutokana na uzoefu wangu wa kuwa na mausiano ya ki mapenzi na wanawake kutoka katika mabara matatu. Yaani kutoka Asia, North America na Europe. Yes wapo wanawake wachache wa Kiafrika kupenda kweli. Hata wanaume wengi wa Kiafrika wanajua kupenda nikuhudumia, na kutunza.
Dunia ni kubwa sana sio lazima uwe na mu-afrika, pia umaskini ndio unafanya wakipewa pesa waone Kama wanapendwa. Over!!!
 
"Ukiwa na tatizo lolote naomba uniambie nitafanya kwa kadri niwezavyo "
Likishaitwa tatizo maana yake katika kulitatua umekutana na ugumu ambao upo nje ya uwezo wako kwa wakati huo either kifedha au kimaarifa kwaiyo ni suala la kuchagua kipi unamudu umalize mwenyewe au kipi kimekupiga knock-out ukifikishe kwa Mr.
 
Hii inatufanya tuishi kwa kuviziana sana na sio kupendana.

Ukijikuta una upendo wa agape, unapunwa kwenye kamali ya mapenzi.
Hakika mkuu yule anayejitoa anaonekana yupo weak. Kikubwa kujipenda kwanza ili kuepukana na hayo yote, ili mahusiano yawe second priority maana kweli kabisa ukipata mwafrika asiejilewa lazima udate.
 
Mleta mada haujatuambia hao wa mabara ma3 wanakufanyiaje ili na sisi tujitathimini.

Mleta mada we huielewi tu jamii yetu, mimi kuna this sukuma guy nikimfanyia chochote cha kumpenda, utasikia hiyo sio kazi yako, kazi yako ni kunitii tu, maana yake KE unatakiwa kwenda tu na flow, vingine vyote afanye ME... mtu unakuwa upo upo tu kama umepotea stend.
😂😂😂 huyo ndio mzuri mate usimuache ww tulia km maji mtungini
 
Hii ndio saikolojia ya muafrika aliyomaanisha jamaa maana kagusa na upande wa mwanaume pia tunajua mapenzi sisi ni providers tu. Ofcourse hata mimi siwezi kuruhusu mpenzi wangu aingie gharama wakati najua uwezo wake ni wa chini au mdogo sana ukilinganisha na uwezo wangu., kwa hii kesi yako hapa muhimu tu usiwe dependent too much yaani vitu vidogo vidogo unavyovimudu maliza tu we mwenyewe, kuna wakina dada wakipata chance kama yako watataka hata mkipanga kukutana umlipie mpaka nauli ya kumtoa alipo
Upate ajira sasa uache kutuponda 😂😂
 
Tatizo mnashindana na maneno ya Mungu. Sisi tumeambiwa tuwatii hiyo kazi ya kupenda ni yenu jamani mbona mnakimbia majukumu??
 
😂😂😂 huyo ndio mzuri mate usimuache ww tulia km maji mtungini
Tatizo watoto wa farao wanamstua oyaaa!!! Somo la kamati ya roho mbaya siku likimuingia nitalia na mizimu ya kwetu mate! 🤣🤣

Ila anabahati mi wenyewe bro! invoices nazompasia ni ndogo sana.
 
Mleta mada haujatuambia hao wa mabara ma3 wanakufanyiaje ili na sisi tujitathimini.

Mleta mada we huielewi tu jamii yetu, mimi kuna this sukuma guy nikimfanyia chochote cha kumpenda, utasikia hiyo sio kazi yako, kazi yako ni kunitii tu, maana yake KE unatakiwa kwenda tu na flow, vingine vyote afanye ME... mtu unakuwa upo upo tu kama umepotea stend.
Salamaleko
 
Tatizo mnashindana na maneno ya Mungu. Sisi tumeambiwa tuwatii hiyo kazi ya kupenda ni yenu jamani mbona mnakimbia majukumu??
😀😀😀 hata sisi tumeambiwa tuwapende, Mungu hajatupa maagizo ya kuwapa hela.
 
Tatizo watoto wa farao wanamstua oyaaa!!! Somo la kamati ya roho mbaya siku likimuingia nitalia na mizimu ya kwetu mate! 🤣🤣

Ila anabahati mi wenyewe bro! invoices nazompasia ni ndogo sana.
Au utakuwa unakosea vitu unavyompa, hao wasukuma wanapenda mashati ya maua ya kung’aa 🤣🤣🤣🤣
Wewe unampa brand hazielewi ohhh!!

Tuachane na hayo mate ila wanaume wa hivyo wako vizuri sana.!! Hana tabia za ki marioo anajua jukumu lake, ww ni “humu tuu” mwendo wa paka chongo hakuna kutoa pesa, kwanza wanawake hatuna pesa 🤣🤣🤣
 
Na hatufanyi kazi 😆😆😆 na tunakofanya kazi hatulipwi. 🤣
 
Back
Top Bottom