Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamii yetu ina tatizo kubwa sana, na tunaolaumiana hatujalitengeneza hilo tatizo, tumelipokea kama mapokeo mengine.Hii ndio saikolojia ya muafrika aliyomaanisha jamaa maana kagusa na upande wa mwanaume pia tunajua mapenzi sisi ni providers tu. Ofcourse hata mimi siwezi kuruhusu mpenzi wangu aingie gharama wakati najua uwezo wake ni wa chini au mdogo sana ukilinganisha na uwezo wangu., kwa hii kesi yako hapa muhimu tu usiwe dependent too much yaani vitu vidogo vidogo unavyovimudu maliza tu we mwenyewe, kuna wakina dada wakipata chance kama yako watataka hata mkipanga kukutana umlipie mpaka nauli ya kumtoa alipo
Dunia ni kubwa sana sio lazima uwe na mu-afrika, pia umaskini ndio unafanya wakipewa pesa waone Kama wanapendwa. Over!!!Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku.
Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake wengi ila sio wote wa Kafrika au weusi kwa ujumla hawajui maana ya kupenda. Wengi wao wanaigiza kupenda ili wajikwamuwe kimaisha. Mwanamke wa Kiafrika akitaka kukuonyesha upendo sana sana atakununulia zawadi, hata yeye, akinunuliwa zawadi au akipewa pesa basi anajuwa anapendwa.
Wanawake wengi weusi wanajua kupendwa maana yake ni kupewa vitu au kuwa saidia kuwatoa kwenye umasikini. Mimi nayasema haya kutokana na uzoefu wangu wa kuwa na mausiano ya ki mapenzi na wanawake kutoka katika mabara matatu. Yaani kutoka Asia, North America na Europe. Yes wapo wanawake wachache wa Kiafrika kupenda kweli. Hata wanaume wengi wa Kiafrika wanajua kupenda nikuhudumia, na kutunza.
Likishaitwa tatizo maana yake katika kulitatua umekutana na ugumu ambao upo nje ya uwezo wako kwa wakati huo either kifedha au kimaarifa kwaiyo ni suala la kuchagua kipi unamudu umalize mwenyewe au kipi kimekupiga knock-out ukifikishe kwa Mr."Ukiwa na tatizo lolote naomba uniambie nitafanya kwa kadri niwezavyo "
Hakika mkuu yule anayejitoa anaonekana yupo weak. Kikubwa kujipenda kwanza ili kuepukana na hayo yote, ili mahusiano yawe second priority maana kweli kabisa ukipata mwafrika asiejilewa lazima udate.Hii inatufanya tuishi kwa kuviziana sana na sio kupendana.
Ukijikuta una upendo wa agape, unapunwa kwenye kamali ya mapenzi.
😂😂😂 huyo ndio mzuri mate usimuache ww tulia km maji mtunginiMleta mada haujatuambia hao wa mabara ma3 wanakufanyiaje ili na sisi tujitathimini.
Mleta mada we huielewi tu jamii yetu, mimi kuna this sukuma guy nikimfanyia chochote cha kumpenda, utasikia hiyo sio kazi yako, kazi yako ni kunitii tu, maana yake KE unatakiwa kwenda tu na flow, vingine vyote afanye ME... mtu unakuwa upo upo tu kama umepotea stend.
Upate ajira sasa uache kutuponda 😂😂Hii ndio saikolojia ya muafrika aliyomaanisha jamaa maana kagusa na upande wa mwanaume pia tunajua mapenzi sisi ni providers tu. Ofcourse hata mimi siwezi kuruhusu mpenzi wangu aingie gharama wakati najua uwezo wake ni wa chini au mdogo sana ukilinganisha na uwezo wangu., kwa hii kesi yako hapa muhimu tu usiwe dependent too much yaani vitu vidogo vidogo unavyovimudu maliza tu we mwenyewe, kuna wakina dada wakipata chance kama yako watataka hata mkipanga kukutana umlipie mpaka nauli ya kumtoa alipo
Amesemaje kwani??? Nmeona hamjui kupenda na ukoloni pia....Hujamalizia Mkuu. Nini kifanyike?
Tatizo watoto wa farao wanamstua oyaaa!!! Somo la kamati ya roho mbaya siku likimuingia nitalia na mizimu ya kwetu mate! 🤣🤣😂😂😂 huyo ndio mzuri mate usimuache ww tulia km maji mtungini
Nipe connection dada angu, sitawaandama tena.Upate ajira sasa uache kutuponda 😂😂
SalamalekoMleta mada haujatuambia hao wa mabara ma3 wanakufanyiaje ili na sisi tujitathimini.
Mleta mada we huielewi tu jamii yetu, mimi kuna this sukuma guy nikimfanyia chochote cha kumpenda, utasikia hiyo sio kazi yako, kazi yako ni kunitii tu, maana yake KE unatakiwa kwenda tu na flow, vingine vyote afanye ME... mtu unakuwa upo upo tu kama umepotea stend.
Huwezi kumtii mtu usiye mpenda.Tatizo mnashindana na maneno ya Mungu. Sisi tumeambiwa tuwatii hiyo kazi ya kupenda ni yenu jamani mbona mnakimbia majukumu??
😀😀😀 hata sisi tumeambiwa tuwapende, Mungu hajatupa maagizo ya kuwapa hela.Tatizo mnashindana na maneno ya Mungu. Sisi tumeambiwa tuwatii hiyo kazi ya kupenda ni yenu jamani mbona mnakimbia majukumu??
Au utakuwa unakosea vitu unavyompa, hao wasukuma wanapenda mashati ya maua ya kung’aa 🤣🤣🤣🤣Tatizo watoto wa farao wanamstua oyaaa!!! Somo la kamati ya roho mbaya siku likimuingia nitalia na mizimu ya kwetu mate! 🤣🤣
Ila anabahati mi wenyewe bro! invoices nazompasia ni ndogo sana.
🤣🤣🤣 haya tulia soon nakupaNipe connection dada angu, sitawaandama tena.
Unabishana na torati?? 😂Huwezi kumtii mtu usiye mpenda.
Sisi tunachojua nyie ndio bank zetu, hayo ya kutoa ukimpata unayempenda wala hutoombwa pesa utatoa mwenyewe 😂😂😂😀😀😀 hata sisi tumeambiwa tuwapende, Mungu hajatupa maagizo ya kuwapa hela.
Na hatufanyi kazi 😆😆😆 na tunakofanya kazi hatulipwi. 🤣Au utakuwa unakosea vitu unavyompa, hao wasukuma wanapenda mashati ya maua ya kung’aa 🤣🤣🤣🤣
Wewe unampa brand hazielewi ohhh!!
Tuachane na hayo mate ila wanaume wa hivyo wako vizuri sana.!! Hana tabia za ki marioo anajua jukumu lake, ww ni “humu tuu” mwendo wa paka chongo hakuna kutoa pesa, kwanza wanawake hatuna pesa 🤣🤣🤣