Wanawake wengi wa Tanzania wanapenda kuolewa wakishakuwa wamechoka

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Huu ndio utafiti nilioufanya mabinti wengi wanapenda kuolewa tayari wakishakuwa wamekula ujana wao tayari hapo ndio watakuwa tayari kutulia katika ndoa umri wa miaka ya miaka 18-25 akikubali kuolewa na wewe imembidi tu kwa kushinikizwa na wazazi ukiwa uchumi upo vizuri.

Ila moyoni wengi wanapenda kuutumia uzuri wao kwanza.
 
ephen_ Ya kweli haya.
 
Ambatanisha na uthibitisho mkuu
 
We bhana we,miaka uliyoitaja hata kufika kileleni ni shida Ila kuanzia miaka 30s ...jamani jamani ile kitu ni tamu kweli...Daah! Hii huchangia Sana wanawake kutaka kuwa nawenza wao ndani.....

Maoni yangu ......
 
Duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…