Wanawake wengi wa Tanzania wanapenda kuolewa wakishakuwa wamechoka

Huu ndio utafiti nilioufanya mabinti wengi wanapenda kuolewa tayari wakishakuwa wamekula ujana wao tayari hapo ndio watakuwa tayari kutulia katika ndoa umri wa miaka ya miaka 18-25 akikubali kuolewa na wewe imembidi tu kwa kushinikizwa na wazazi ukiwa uchumi upo vizuri

ila moyoni wengi wanapenda kuutumia uzuri wao kwanza
Kwani huo uzuri ni wako wewe au wao?
 
kwani kuchoka ni kuanzia miaka mingap, nisje jichanganya,by the way nshachoka

mwenye ataka kuniwowa akuje.
Sema kuoa mwanamke wa Jf ni changamoto!! Yaani mtu kashajifunza ubishi wa Faiza Foxy, anajenga hoja kama Pasco , anajua uchawi kama Mshana Jr, ana sifa kama Genta, kiherehere kama John, chawa kama Lukas mwoshambwa........ list ni ndefu... mzinzi kama Rick Boy na vijana wa masikhala...

Mmmmmmmmmmmmmmmmaeeee hiyo ndoa ikidumu zaidi ya miezi 6 mwanaume atakua kavumilia mengi
 
Aseeee nmecheka jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,,,u made my night
 
Sema kuoa mwanamke wa Jf ni changamoto!! Yaani mtu kashajifunza ubishi wa Faiza Foxy, anajenga hoja kama Pasco , anajua uchawi kama Mshana Jr, ana sifa kama Genta, kiherehere kama John, chawa kama Lukas mwoshambwa........ list ni ndefu... mzinzi kama Rick Boy na vijana wa masikhala...

Mmmmmmmmmmmmmmmmaeeee hiyo ndoa ikidumu zaidi ya miezi 6 mwanaume atakua kavumilia mengi
Mwoshambwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom