Wanawake wengi wa Tanzania wanapenda kuolewa wakishakuwa wamechoka

Koo za simba hatuna mpango huo kabisa, sisi tukimaliza miaka ya kisheria ya kuingia utu uzima na ndoa hapo hapo.

Tena hayo ni siku hizi, zamani wakishabalehe tu na ndoa hapo hapo, hatupendi ujinga sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…