Wanawake wengi wa Tanzania wanapenda kuolewa wakishakuwa wamechoka

Kwani huo uzuri ni wako wewe au wao?
 
kwani kuchoka ni kuanzia miaka mingap, nisje jichanganya,by the way nshachoka

mwenye ataka kuniwowa akuje.
Sema kuoa mwanamke wa Jf ni changamoto!! Yaani mtu kashajifunza ubishi wa Faiza Foxy, anajenga hoja kama Pasco , anajua uchawi kama Mshana Jr, ana sifa kama Genta, kiherehere kama John, chawa kama Lukas mwoshambwa........ list ni ndefu... mzinzi kama Rick Boy na vijana wa masikhala...

Mmmmmmmmmmmmmmmmaeeee hiyo ndoa ikidumu zaidi ya miezi 6 mwanaume atakua kavumilia mengi
 
Aseeee nmecheka jamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,,u made my night
 
Mwoshambwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…