Theory yangu ni kuwa nahisi kuna mapepo ambayo yanafanya watu wasifanye right choice of marriage partner.
Mfano kwa nyie wanawake, kuna mwanaume ukimuona tu utajua huyu he's husband material, sawa sio handsome sura yake ya kawaida, hana hela bado anajitafta, ila kwa personality yake, anavyoongea, na matendo, utaona huyu anaweza kuwa baba wa familia, wanawake wachache wamekuwa na akili ya kuweza kuwatrap wanaume wa aina iyo na ndoa zimedumu miaka 30+ (though wanawake hawakuwapenda wanaume hao), kama kwa bahati mbaya hujawahi tongozwa na mwanaume husband material that's another case.
Sasa binti tena ukiwa na miaka (16-25) katika umri huu wewe ni almasi machoni kwa wanaume, soko lako liko juu, utajenga future gani na mume wa mtu, utajenga future gani na kibabu Cha miaka 60+ utajenga future gani na mla mirungi anaeshinda kijiweni na kwenye mabaa 24/7..
Akili za kugundua na kuwaona wanaume wema (husband materials) wengi wenu mnazipata mkishafika miaka 28+ 😁 uzuri mm binafsi si boya, nikiona mdada mzuri ananishobokea namuuliza umri, lazma namba yake igote kwenye 28+ hapo mm najua eewwaaah hamna kitu hapa, sipigwi kiboya
Ms R