Wanawake wengi wa Tanzania wanapenda kuolewa wakishakuwa wamechoka

Theory yangu ni kuwa nahisi kuna mapepo ambayo yanafanya watu wasifanye right choice of marriage partner.

Mfano kwa nyie wanawake, kuna mwanaume ukimuona tu utajua huyu he's husband material, sawa sio handsome sura yake ya kawaida, hana hela bado anajitafta, ila kwa personality yake, anavyoongea, na matendo, utaona huyu anaweza kuwa baba wa familia, wanawake wachache wamekuwa na akili ya kuweza kuwatrap wanaume wa aina iyo na ndoa zimedumu miaka 30+ (though wanawake hawakuwapenda wanaume hao), kama kwa bahati mbaya hujawahi tongozwa na mwanaume husband material that's another case.

Sasa binti tena ukiwa na miaka (16-25) katika umri huu wewe ni almasi machoni kwa wanaume, soko lako liko juu, utajenga future gani na mume wa mtu, utajenga future gani na kibabu Cha miaka 60+ utajenga future gani na mla mirungi anaeshinda kijiweni na kwenye mabaa 24/7..

Akili za kugundua na kuwaona wanaume wema (husband materials) wengi wenu mnazipata mkishafika miaka 28+ 😁 uzuri mm binafsi si boya, nikiona mdada mzuri ananishobokea namuuliza umri, lazma namba yake igote kwenye 28+ hapo mm najua eewwaaah hamna kitu hapa, sipigwi kiboya Ms R
ujana ndugu angu,,kwa Karne hii lazma tuchakazwe kwanza ndo tutafute ndoa zipo wapi,,20yrs niolewe, hapanaaa
 
Everyday i told you my sister binti kiziwi your fellow women you are advocating are neither fools nor innocents, they do shit intentionally, understood and willingly because they know even after they mess up they will act victims and get along with it, it high time for them to be accountable for their stupidity. Judge them harshly, bully them, treat them like a trash atleast it will give warning sign to upcoming generation of their fellow women.
 
umeona kiswahili hakitoshi🤣🤣🤣 nmecheka jamani,, punguza povu mkuu humu ni kuchangia hoja
 
Everyday i told you my sister binti kiziwi your fellow women you are advocating are neither fools nor innocents, they do shit intentionally, understood and willingly because they know even after they mess up they will act victims and get along with it, it high time for them to be accountable for their stupidity. Judge them harshly, bully them, treat them like a trash atleast it will give warning sign to upcoming generation of their fellow women.
I understand your frustration, but it's important to remember that not all people, regardless of gender, act with ill intentions. Each person is responsible for their actions, and it's important to hold individuals accountable without harsh judgment or bullying. Kuwa na respect, understanding, and positive communication can lead to compassionate society. (Hii ndio aina ya society ambayo sisi wa africa tumeikosa)

Try to Encourage accountability through constructive criticism, Mimi sio fan wa bullying so kaka huko mimi hunipati. Na pia kila mtu ana a different story, ya nini kuwaweka watu wote kwenye fungu moja.

Bottom line, JF isn’t that serious, Si ajabu miss R ameolewa na familia anayo.
 
"Wanapenda kutumia uzuri kwanza ..."

Kama hana huo uzuri.?
Sehemu zake sa Siri zitumike kumfanya awe mrembo ili aonekane mnzuri kwa wakati huo
Baada sehemu sa Siri kutumia ipasavyo na kuchakaa ndo atataka atulie aolewe
 
I understand your frustration, but it's important to remember that not all people, regardless of gender, act with ill intentions. Each person is responsible for their actions, and it's important to hold individuals accountable without harsh judgment or bullying. Kuwa na respect, understanding, and positive communication can lead to compassionate society. (Hii ndio aina ya society ambayo sisi wa africa tumeikosa)

Try to Encourage accountability through constructive criticism, Mimi sio fan wa bullying so kaka huko mimi hunipati. Na pia kila mtu ana a different story, ya nini kuwaweka watu wote kwenye fungu moja.

Bottom line, JF isn’t that serious, Si ajabu miss R ameolewa na familia anayo.
Sawa endeleeni kuwa polite na mienendo ya mabinti zenu na wadogo wenu wa kike, walimwengu wanawasubiri huku mtaani.
 
I understand your frustration, but it's important to remember that not all people, regardless of gender, act with ill intentions. Each person is responsible for their actions, and it's important to hold individuals accountable without harsh judgment or bullying. Kuwa na respect, understanding, and positive communication can lead to compassionate society. (Hii ndio aina ya society ambayo sisi wa africa tumeikosa)

Try to Encourage accountability through constructive criticism, Mimi sio fan wa bullying so kaka huko mimi hunipati. Na pia kila mtu ana a different story, ya nini kuwaweka watu wote kwenye fungu moja.

Bottom line, JF isn’t that serious, Si ajabu miss R ameolewa na familia anayo.
Hili jibu wacha nitafute hela,, niweke bango kwenye mlango wa Jf,,wasemaji wote wa maisha ya watu waone kabla hawajavua viatu na kuingia.
 
Utafute hela wapi kwenye mifuko ya wanaume au uliipoteza mahala labda nikusaidie kutafuta labda tutaipata mammy
 
Back
Top Bottom