Wanawake wengi wakifika miaka 30 wanarudi JF kutafuta wanaume wa kuwaoa

Wanawake wengi wakifika miaka 30 wanarudi JF kutafuta wanaume wa kuwaoa

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Wanawake wa kitanzania wakishacheza ligi zote kubwa, wakiona maji ya jioni wanaingia JF na kuunda ID mpya na kuanza kutafuta wanaume.

Niwaambie tu huo mchezo wenu ni wa kitoto Sana mnaofanya na hamtapata kitu.
 
Jifunze ustaraabu, kabla ya kusema fikiri effect za uki semacho.

jf ina nyuzi kibao za wanaume kwa wanawake waki saka wenzi au waume kwa wake.
hii attacking ya upande mmoja si hoja nzuri kabisa.

waache watu wawe huru kama jukwaa la jf lisemavyo, suala la maslahi wata juana wao.

Nb, kuna wanawake wako vizuri kiuchumi kukuzidi hadi wewe, elewa hilo pia.
 
Mtoa mada itakua kuna mwanamke kamkataa , hao wanatafuta kuolewa humu mbona mimi sijawahi waona🤔
 
Wengi wanaotafutaga watu hawaletagi mrejesho walipofikia na wanaoleta mrejesho huwa wanasema hawajakutana na watu sahihi
Dunia ina wanaume zaidi ya bilioni 6 , jf wanaume labda laki moja tu na I'd za kujiudia kwa mtu mmoja zaidi ya 7.

Yani ukose wanaume billion 6 humo duniani uje ulaumu wanaume laki 7 wa jf🤔
 
Back
Top Bottom