Wanawake wengi wakifika miaka 30 wanarudi JF kutafuta wanaume wa kuwaoa

Aiseee!!!!
Nimejiunga jf 2009,, kwa I'd moja matata..... 2013nikabadili I'd baada ya kupata mchumba na kuolewa!!!!! Toka kipindi hicho nimebadili I'd 5 hii ya SITA herufi kubwa.

Leo hii utafute mwanaume jf Tena miaka hii,,, unaijua jf party wewe???! Jf together party inaijua wewe??!!
Mule kulikuwa na ma handsome yenye akili za maana kazi za maana..... ukimuona tu anatamani akuite na mule Kuna couple tulizishuhudia na mpaka sasa hivi Zina survive........
Mwanaume wa umri wetu tulio kuwa nao alikuwa akikwambia Mimi Fulani na kazi Fulani ilikuwa kweli!¡!! Kama Yuko nje utaoga usd na watu walikuwa really

Unabadili I'd uje jf kutafuta vivulana hivi ambavyo vina type vikiwa sebuleni kwa shemeji...... Vikisisitiza sijui kataa ndoa, mwanamke hahongwi, kojoa usijali kuhusu yeye atajijua. Vikishiba chai ni kuanzisha nnyuzi mwanamke hivi mara vileeee!!!!!?
Hata hivyo jf inshu zake ni changamsha genge lakini katika kuchangamsha hilo genge tafuteni ukweli na muuandike.

Nikwambie tu hii forum ukiitumia vizuri utakutana na watu usiotarajia kukutana nao..... Kuhusu connection hapa ni sehemu nzuri sana inayoweza kuku connect na wenye Tanzania yao.
 
Naunga mkono hoja yako, met a couple of good people humu.

biashara kidogo, masuala ya jamii kidogo, na urafiki kiasi.
 
Wanawake wa kitanzania wakishacheza ligi zote kubwa, wakiona maji ya jioni wanaingia JF na kuunda ID mpya na kuanza kutafuta wanaume.

Niwaambie tu huo mchezo wenu ni wa kitoto Sana mnaofanya na hamtapata kitu.
Na humu kuna wanawake na wanaume wana body count ya 10+ na wote wa humu humu. Watu wanatombana sana humu aisee. Na jamaa wenye vihela hela humu wanakitembeza balaa. Lot of damaged goods!
 
Na humu kuna wanawake wana body count ya 10+ na wanaume wote wa humu humu. Watu wanatombana sana humu aisee. Na jamaa wenye vihela hela humu wanakitembeza balaa. Lot of damaged goods!
Una proof mkuu! Hizi ni allegations sidhani kama zina ukweli sana..
 
Back
Top Bottom