leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
Apuuzwe anatafuta attention tu!!!Kwahiyo mkuu mtoa mada apuuzwe au azingatiwe maana ni kaamsha majini maruhani kupitia huu Uzi
Apuuzwe anatafuta attention tu!!!Kwahiyo mkuu mtoa mada apuuzwe au azingatiwe maana ni kaamsha majini maruhani kupitia huu Uzi
TupoSasa hawa kina kasongo wa JF kuna muoaji?
Mhmmm, hizo I'd unazodai ni za zamani sijui zina akili mingi , amini kwamba ndio hizi hizi za kina Busu la Kenge na zimekuja kivingine , haya ni madingi ya nyani yamezeeka kinouma , sema tu yameamua yafanye utani kwa sababu hayana cha kupoteza tenaAiseee!!!!
Nimejiunga jf 2009,, kwa I'd moja matata..... 2013nikabadili I'd baada ya kupata mchumba na kuolewa!!!!! Toka kipindi hicho nimebadili I'd 5 hii ya SITA herufi kubwa.
Leo hii utafute mwanaume jf Tena miaka hii,,, unaijua jf party wewe???! Jf together party inaijua wewe??!!
Mule kulikuwa na ma handsome yenye akili za maana kazi za maana..... ukimuona tu anatamani akuite na mule Kuna couple tulizishuhudia na mpaka sasa hivi Zina survive........
Mwanaume wa umri wetu tulio kuwa nao alikuwa akikwambia Mimi Fulani na kazi Fulani ilikuwa kweli!¡!! Kama Yuko nje utaoga usd na watu walikuwa really
Unabadili I'd uje jf kutafuta vivulana hivi ambavyo vina type vikiwa sebuleni kwa shemeji...... Vikisisitiza sijui kataa ndoa, mwanamke hahongwi, kojoa usijali kuhusu yeye atajijua. Vikishiba chai ni kuanzisha nnyuzi mwanamke hivi mara vileeee!!!!!?
Hata hivyo jf inshu zake ni changamsha genge lakini katika kuchangamsha hilo genge tafuteni ukweli na muuandike.
Nikwambie tu hii forum ukiitumia vizuri utakutana na watu usiotarajia kukutana nao..... Kuhusu connection hapa ni sehemu nzuri sana inayoweza kuku connect na wenye Tanzania yao.
Sometimes njaa ndio chanzo bwasheeHuyu jamaa kuna siku alimparamia Hannah bila sababu ya msingi nikashangaa sana
Mmmh😂😂😂Humu ndio unajua tabia halisi , mfano hata ukizunduka usingizini unajua kabisa mimi ni mnywa bia , tukiingia kwenye ndoa hakuna kitakacho kushangaza
Id ya kwanza nilibadili na ilinilazimu kwa sababu kadhaa!!! Mojawapo ni kubadili mfumo mzima wa maisha.Zaidi ya likes sijakuona ukiandika virefu namna hii, kumbe wewe ni wa long sana, tumekukuta....
Nini sababu ya kubadilisha IDs?
Kabisa ndoa unahitaji kumjua mtu vizuri sana , hakuna binadamu asiye kuwa na upande wake mbaya , kamwe.Mmmh😂😂😂
Dah hii spana nzito kinyamaWameifanya Jf ni ligi ya Saudi Arabia wakikaribia kustaafu ndo wanaenda kucheza huko
😂😂😂Sasa hawa kina kasongo wa JF kuna muoaji?
Ni kweli usemalo lakini watu humu hawapnyeshi uhalisia waoKabisa ndoa unahitaji kumjua mtu vizuri sana , hakuna binadamu asiye kuwa na upande wake mbaya , kamwe.
Siamini kama ni njaa bwashee, magimbi na mihogo imejaa kibao ,njaa itoke wapi?Sometimes njaa ndio chanzo bwashee
Sio watu sema hata wewe , ndio maana umetumia I'd fakeNi kweli usemalo lakini watu humu hawapnyeshi uhalisia wao
😄Dada umemaliza yoteAiseee!!!!
Nimejiunga jf 2009,, kwa I'd moja matata..... 2013nikabadili I'd baada ya kupata mchumba na kuolewa!!!!! Toka kipindi hicho nimebadili I'd 5 hii ya SITA herufi kubwa.
Leo hii utafute mwanaume jf Tena miaka hii,,, unaijua jf party wewe???! Jf together party inaijua wewe??!!
Mule kulikuwa na ma handsome yenye akili za maana kazi za maana..... ukimuona tu anatamani akuite na mule Kuna couple tulizishuhudia na mpaka sasa hivi Zina survive........
Mwanaume wa umri wetu tulio kuwa nao alikuwa akikwambia Mimi Fulani na kazi Fulani ilikuwa kweli!¡!! Kama Yuko nje utaoga usd na watu walikuwa really
Unabadili I'd uje jf kutafuta vivulana hivi ambavyo vina type vikiwa sebuleni kwa shemeji...... Vikisisitiza sijui kataa ndoa, mwanamke hahongwi, kojoa usijali kuhusu yeye atajijua. Vikishiba chai ni kuanzisha nnyuzi mwanamke hivi mara vileeee!!!!!?
Hata hivyo jf inshu zake ni changamsha genge lakini katika kuchangamsha hilo genge tafuteni ukweli na muuandike.
Nikwambie tu hii forum ukiitumia vizuri utakutana na watu usiotarajia kukutana nao..... Kuhusu connection hapa ni sehemu nzuri sana inayoweza kuku connect na wenye Tanzania yao.
Halafu wengi wanao demand uaminifu, sijui transparency ni makanjanja tu.Mtaani ndio kunaaminika mkuu?
Hapana kwa kweli mdogo wangu......Mhmmm, hizo I'd unazodai ni za zamani sijui zina akili mingi , amini kwamba ndio hizi hizi za kina Busu la Kenge na zimekuja kivingine , haya ni madingi ya nyani yamezeeka kinouma , sema tu yameamua yafanye utani kwa sababu hayana cha kupoteza tena
Kwani unamfahamu leo na kuoana leo mkuu. Tatizo siku hizi dating ya kwanza inafanyika lodge😅Ni kweli usemalo lakini watu humu hawapnyeshi uhalisia wao
😂😂😂😂😂😂. Kila la heri mkuu. Endelea kuwachakata mpaka body count ya humu ifike hata 50.Mkuu mimi nimeoa kupitia jf, sina rekodi chafu.
Mtu ana taka after six Months muoane, wewe una ficha au kukimbilia kipi?Kabisa ndoa unahitaji kumjua mtu vizuri sana , hakuna binadamu asiye kuwa na upande wake mbaya , kamwe.
Inabidi muda mwingine tuwajibu tu Hawa wavulana.😄Dada umemaliza yote
Bado hajamaliza ,usishangae mumewe ndio huyu Busu la Kenge kaja na I'd nyingine baada ya kuoana🤔😄Dada umemaliza yote