Wanawake wengi wakifika miaka 30 wanarudi JF kutafuta wanaume wa kuwaoa

Wanawake wengi wakifika miaka 30 wanarudi JF kutafuta wanaume wa kuwaoa

Any single woman please na mie nataka kuoa anicheck PM umri ushaenda huu
 
Waoaji JF??????
Nipo nimekaa paleeeeeee
hata hao Wayne zenu mtaani na wenyewe wapo jf ni vile tu hajui, kama wameweza kuwaoa na kuwa maboyfriend loyal basi hakuna shida, watu wale wale wa mtaani ndio hawahawa JF. Mbona huku kuna watu wako Loyal na decent sema tu hamjakutana nao.
 
Jifunze ustaraabu, kabla ya kusema fikiri effect za uki semacho.

jf ina nyuzi kibao za wanaume kwa wanawake waki saka wenzi au waume kwa wake.
hii attacking ya upande mmoja si hoja nzuri kabisa.

waache watu wawe huru kama jukwaa la jf lisemavyo, suala la maslahi wata juana wao.

Nb, kuna wanawake wako vizuri kiuchumi kukuzidi hadi wewe, elewa hilo pia.
Uko sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom