Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,126
- 2,306
Mke wangu nilimpata JF, saizi tuna watoto wawili
Mpishi mzuri mambo😊
Unakuta unaemuomba msamaha hapo ni mdogo wako ndo kalala hapo sebleni kwako, hembu mpore hio simu uone [emoji23]Samahani kwa niaba yao.
Hahahahaha!!!!! Ni kweli lolote linawezekana acha nikae kimya tu!.Unakuta unaemuomba msamaha hapo ni mdogo wako ndo kalala hapo sebleni kwako, hembu mpore hio simu uone [emoji23]
Tupo sema ni vile tu mnajishtukiaSasa hawa kina kasongo wa JF kuna muoaji?
Mzabzab yupo humu kila siku anatafta mke, hamumuoni JoannahSasa hawa kina kasongo wa JF kuna muoaji?
Pia ni sehemu pekee unaweza kukutana na wabinya pumbu (wasiojulikana) na id zao za kike 😀😀😀Aiseee!!!!
Nimejiunga jf 2009,, kwa I'd moja matata..... 2013nikabadili I'd baada ya kupata mchumba na kuolewa!!!!! Toka kipindi hicho nimebadili I'd 5 hii ya SITA herufi kubwa.
Leo hii utafute mwanaume jf Tena miaka hii,,, unaijua jf party wewe???! Jf together party inaijua wewe??!!
Mule kulikuwa na ma handsome yenye akili za maana kazi za maana..... ukimuona tu anatamani akuite na mule Kuna couple tulizishuhudia na mpaka sasa hivi Zina survive........
Mwanaume wa umri wetu tulio kuwa nao alikuwa akikwambia Mimi Fulani na kazi Fulani ilikuwa kweli!¡!! Kama Yuko nje utaoga usd na watu walikuwa really
Unabadili I'd uje jf kutafuta vivulana hivi ambavyo vina type vikiwa sebuleni kwa shemeji...... Vikisisitiza sijui kataa ndoa, mwanamke hahongwi, kojoa usijali kuhusu yeye atajijua. Vikishiba chai ni kuanzisha nnyuzi mwanamke hivi mara vileeee!!!!!?
Hata hivyo jf inshu zake ni changamsha genge lakini katika kuchangamsha hilo genge tafuteni ukweli na muuandike.
Nikwambie tu hii forum ukiitumia vizuri utakutana na watu usiotarajia kukutana nao..... Kuhusu connection hapa ni sehemu nzuri sana inayoweza kuku connect na wenye Tanzania yao.
TAPELIKasongo maana yake nini?
Dr anajua kutusagia kunguni sana 😁
😀😀😀Wanawake wa kitanzania wakishacheza ligi zote kubwa, wakiona maji ya jioni wanaingia JF na kuunda ID mpya na kuanza kutafuta wanaume.
Niwaambie tu huo mchezo wenu ni wa kitoto Sana mnaofanya na hamtapata kitu.
Halafu anakuja kutupulizaa na “therapeutic “.Dr anajua kutusagia kunguni sana 😁
Dr aingie kwenye siasa....ana kipaji cha kutengeneza tatizo afu tena analitatua 😂😂😂Halafu anakuja kutupulizaa na “therapeutic “.
Ewaaaaaaaahhhh!!! Ilimradi atrend tu🤣🤣Dr aingie kwenye siasa....ana kipaji cha kutengeneza tatizo afu tena analitatua 😂😂😂
Sababu ni kwamba anang'ata na kupuliza ata the same threadKwanini hii mada imefufuliwa
We jamaa muhuni sana kwenye thread unawasimanga hapa unawachora🤣🤣Ahaaah hilo upo sahihi na wanawake msiogope kujaribu bahati zenu hapa JF za kujipatie wanaume.
Kwani wakifanya hivyo ni makosaWanawake wa kitanzania wakishacheza ligi zote kubwa, wakiona maji ya jioni wanaingia JF na kuunda ID mpya na kuanza kutafuta wanaume.
Niwaambie tu huo mchezo wenu ni wa kitoto Sana mnaofanya na hamtapata kitu.