Aiseee!!!!
Nimejiunga jf 2009,, kwa I'd moja matata..... 2013nikabadili I'd baada ya kupata mchumba na kuolewa!!!!! Toka kipindi hicho nimebadili I'd 5 hii ya SITA herufi kubwa.
Leo hii utafute mwanaume jf Tena miaka hii,,, unaijua jf party wewe???! Jf together party inaijua wewe??!!
Mule kulikuwa na ma handsome yenye akili za maana kazi za maana..... ukimuona tu anatamani akuite na mule Kuna couple tulizishuhudia na mpaka sasa hivi Zina survive........
Mwanaume wa umri wetu tulio kuwa nao alikuwa akikwambia Mimi Fulani na kazi Fulani ilikuwa kweli!¡!! Kama Yuko nje utaoga usd na watu walikuwa really
Unabadili I'd uje jf kutafuta vivulana hivi ambavyo vina type vikiwa sebuleni kwa shemeji...... Vikisisitiza sijui kataa ndoa, mwanamke hahongwi, kojoa usijali kuhusu yeye atajijua. Vikishiba chai ni kuanzisha nnyuzi mwanamke hivi mara vileeee!!!!!?
Hata hivyo jf inshu zake ni changamsha genge lakini katika kuchangamsha hilo genge tafuteni ukweli na muuandike.
Nikwambie tu hii forum ukiitumia vizuri utakutana na watu usiotarajia kukutana nao..... Kuhusu connection hapa ni sehemu nzuri sana inayoweza kuku connect na wenye Tanzania yao.