Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Eeeh kina kasongo tena? Mtu asipo taka oa humu jf anakuaje kasongo?Sasa hawa kina kasongo wa JF kuna muoaji?
Watu wanaoana kimya kimya , wewe unauhakika gani kuwa watu humu sio waoaji?Waoaji wenyewe wako wapi, hawa hawa kataa ndoa au kuna wengine?
Wanadhani jf ni serie AWanawake wa kitanzania wakishacheza ligi zote kubwa , wakiona maji ya jioni wanaingia JF na kuunda I'd mpya na kuanza kutafuta wanaume .
Niwaambie tu huo mchezo wenu ni wa kitoto Sana mnaofanya na hamtapata kitu.
Mtoa mada itakua kuna mwanamke kamkataa , hao wanatafuta kuolewa humu mbona mimi sijawahi waona🤔Jifunze ustaraabu, kabla ya kusema fikiri effect za uki semacho.
jf ina nyuzi kibao za wanaume kwa wanawake waki saka wenzi au waume kwa wake.
hii attacking ya upande mmoja si hoja nzuri kabisa.
waache watu wawe huru kama jukwaa la jf lisemavyo, suala la maslahi wata juana wao.
Nb, kuna wanawake wako vizuri kiuchumi kukuzidi hadi wewe, elewa hilo pia.
Najua watu kadhaa walio oana humu, kuna makaveli10 ali opoa chombo humu.Watu wanaoana kimya kimya , wewe unauhakika gani kuwa watu humu sio waoaji?
Wengi wanaotafutaga watu hawaletagi mrejesho walipofikia na wanaoleta mrejesho huwa wanasema hawajakutana na watu sahihiWatu wanaoana kimya kimya , wewe unauhakika gani kuwa watu humu sio waoaji?
Ni huyo tu mmoja hakuna mwingineNajua watu kadhaa walio oana humu, kuna makaveli10 ali opoa chombo humu.
People send jabs because of hpd, or they feel like attacking someone in order to feel good.Mtoa mada itakua kuna mwanamke kamkataa , hao wanatafuta kuolewa humu mbona mimi sijawahi waona🤔
Una elewa maaa ya watu kadhaa?Ni huyo tu mmoja hakuna mwingine
Dunia ina wanaume zaidi ya bilioni 6 , jf wanaume labda laki moja tu na I'd za kujiudia kwa mtu mmoja zaidi ya 7.Wengi wanaotafutaga watu hawaletagi mrejesho walipofikia na wanaoleta mrejesho huwa wanasema hawajakutana na watu sahihi