Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

Mwanaume, ukiona mwanamke wako anakusikiliza yaani we ndio msemaji ye msikilizaji(kukuelewa), kuheshimu huyo mwanamke usimpoteze..

Mwanamke, ukiona mumeo hakusikilizi kila unapotoa maelekezo yeye hafuati, achana nae katafute anayefuata maagizo yako
Na ndipo hapo mnapokosea sasa na ni WANAUME tu ndiyo wanaoelewa hili ila WAVULANA hamuwezi kuelewa! Anyway we baki na huyo mtumwa wako ambaye unataka kila unachomuambia ajibu "ndiyo mume wangu" hata kama siyo kizuri au hakifurahii (yes huyo ni mtumwa kwa kivuli cha mke)!
 
Watu kama nyie kila mahali mpo. Mnakuaga na busara sana. Big up

Ila na weww unaweza kukuta una maswahibu chungu nzima ktk ndoa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Nashukuru mkuu.

Kuhusu maswahibu 😀😀 sijui nikujibu vipi maana mwingine anaweza kuyaona maswahibu huku mwengine akaona ni mambo ya kawaida tu.

Anyway sijao malaika. Nimeoa mtu ninayependezwa naye, kwahivyo nimejiandaa kumvumilia.

Vivyo hivyo yeye ananivumilia sana asee. Tena sana.

Wanaume sisi tunavumiliwa sana na wake zetu.
Kuna part flani ya mwanaume huwa haijali kuhusu mwanamke.
Sasa hapo mwanamke huwa inamuuma lakini huvumilia tu.
 
Kunayo shida mahali, ila kila upande unaona wenzake ndo wana matatizo zaidi. Matatizo ya ndoa hayasolviwi kwa Debate. Na nani mwenye matatizo zaidi ? Hamna jibu la moja kwa moja na la jumla, isipokuwa ni swala la pamoja ambapo( collective responsibility )misingi fulani ambayo haikuzingatiwa tangu mwanzo wa maisha ya ndoa, na kuendelezwa inavyopaswa, inaweza kuleta mpasuko, either kwa sura ya mke au kwa sura ya mume.
Wengi hudhani kazi ya kupendana inaishia pale mnapofunga ndoa, na kuacha kuyaendeleza yale yaliyowafanya wafikie hatua hiyo. Matokeo yake wanaanza kuvuna mipasuko ndani wanatafuta mchawi nani. Kumbe wameacha kuishi kama watu wenye future pamoja bali watu wanaolea pamoja.
Ngoja niishie hapa kwa leo, nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Jf[emoji1607]
 
Wewe Umeongea point
 

‘Ukipanda nae anapanda [emoji848][emoji848]’ kwa hiyo unataka upande ye anakutizama tu [emoji848]? Hata hivyo kwa nini upande? Ukiongea nae kwa hekima hutaeleweka? Unafikiri ukipanda ndo unadhihirisha uanaume wako? [emoji848][emoji848]
 

Mwanamume halisi aliyekomaa na kujua majukumu yake katika familia na anayempenda mkewe hahitaji kulazimisha ili mwanamke amtii. ‘You need to behave as a husband to command that’. Ukisimamia majukumu yako kisawa sawa na ukampenda mkeo, atakuheshimu tu automatically. Sasa mwingine utakuta ana ubabe mwingi, kauli chafu, hatimizi wajibu wake kama mume na bado analazimisha apewe heshima [emoji848]
 
Unaandika.kama umesimuliwa na Mimi
 
Wanaume mnavyojikutaga malaika sasa, muwavurugeeee wake zenu then wakireact mnajikuta victims. Haya endeleeni kujazana ujinga.

Mama kasema ukinizingua tunazinguana [emoji3]
 
Ni kweli kumekuwa natabia kama hizi ila mwanaume ndio mchunga wa familia kama mkigombana ucku unatakiwa mpaka asubuhi muwe mmepatana na ukiweka utambi tu mambo yanaisha kesho mnaamka na nada nyingine.
 
w
watu wa aina yako sijui hata kama wanazaliwa miaka hii.
 
Siyo kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment bora kabisa ktk huu uzi.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…