Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Safi Sana nimekupenda bureeeNdio hivyo Mwanaume unatakiwa uwe flexibly,penye uzuri unauendeleza na kwenye ubaya unauondoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi Sana nimekupenda bureeeNdio hivyo Mwanaume unatakiwa uwe flexibly,penye uzuri unauendeleza na kwenye ubaya unauondoa.
Unauondoa!!?Ndio hivyo Mwanaume unatakiwa uwe flexibly,penye uzuri unauendeleza na kwenye ubaya unauondoa.
The best comment tangu uzi umeanza! Its true kwenye ndoa wanaume wengi wanadhani kuwa kichwa cha familia basi ndiyo mke afuate kila kitu anachotaka hata kama siyo kizuri au mke hakifurahii!Unauondoa!!?
Na huu ubaya au uzuri tunaupima vipi!? Nani anasema huu ni uzuri au huu ni ubaya!?
Ndoa ni makubaliano ya kuzalisha kitu kipya (mwili mmoja) Mkiiendea na tabia zenu mlizotoka nazo huko makwenu haikati hata kona moja mnaishana.
Wanandoa haijalishi ni mume au mke.. wanapaswa kujenga mawasiliano na kuwa na interest to learn and know about the partner.. na kukubali na ku-commit kufanya mabadiliko when needed.
Sio mume ukae unasema tuu mke anafuata before you know it anachoka mnaishi kwa mazoea if you are lucky.. au mke naye anataka yeye pekee ndio asikilizwe (entitlement) take me as I am.. kwenye scenario hizo mkibahatika kuishi mtaishi kwa mazoea.. hakuna upendo hapo.. na hiyo ni upotevu wa muda.. its better mkaachana...
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Shida uelewa huo ndio haupo.... Wengi tunadhani ndoa ni mazoea tu. Mtu anazo flaws kabisa na anajua.. ila uvivu ndio unamsumbua anajikuta anatoa kauli kama hivi ndivyo mimi nilivyo.. take me as I am.. ndoa hakuna tena hapo.. ni kuchukua na utumwani tu huko.The best comment tangu uzi umeanza! Its true kwenye ndoa wanaume wengi wanadhani kuwa kichwa cha familia basi ndiyo mke afuate kila kitu anachotaka hata kama siyo kizuri au mke hakifurahii!
It takes commitment! Kila mmoja kwenye ndoa aingie kwa lengo la kurekebisha tabia zake mbaya na kubaki na nzuri na kila mmoja awe tayari kumsikiliza mwenzie siyo mmoja tu ndiyo atake kusikilizwa!
Daah kweli Kabisa aiseeShida uelewa huo ndio haupo.... Wengi tunadhani ndoa ni mazoea tu. Mtu anazo flaws kabisa na anajua.. ila uvivu ndio unamsumbua anajikuta anatoa kauli kama hivi ndivyo mimi nilivyo.. take me as I am.. ndoa hakuna tena hapo.. ni kuchukua na utumwani tu huko.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wewe ndo umeelezea vizuri, wanaume wengi wa kiafrika wanaamini kwenye ndoa jinsia yao ni perfect hawakosei wala hawakubali kushauriwa na wake zao, tamaduni zetu nyingi zinatuminya wanawake kuonekana si lolote mbele ya mume, mume anaabudiwa Kama mtakatifu ukimkosoa unaonekana malaya uliyeshindikana,Unauondoa!!?
Na huu ubaya au uzuri tunaupima vipi!? Nani anasema huu ni uzuri au huu ni ubaya!?
Ndoa ni makubaliano ya kuzalisha kitu kipya (mwili mmoja) Mkiiendea na tabia zenu mlizotoka nazo huko makwenu haikati hata kona moja mnaishana.
Wanandoa haijalishi ni mume au mke.. wanapaswa kujenga mawasiliano na kuwa na interest to learn and know about the partner.. na kukubali na ku-commit kufanya mabadiliko when needed.
Sio mume ukae unasema tuu mke anafuata before you know it anachoka mnaishi kwa mazoea if you are lucky.. au mke naye anataka yeye pekee ndio asikilizwe (entitlement) take me as I am.. kwenye scenario hizo mkibahatika kuishi mtaishi kwa mazoea.. hakuna upendo hapo.. na hiyo ni upotevu wa muda.. its better mkaachana...
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nahisi inabidi tuurudie utaratibu wa jando na unyago. Vijana wa leo tumekuwa na kiburi tu na ujuaji mwingi...ila kiuhalisia hakuna kitu tunajua kuhusu mahusiano.Wewe ndo umeelezea vizuri, wanaume wengi wa kiafrika wanaamini kwenye ndoa jinsia yao ni perfect hawakosei wala hawakubali kushauriwa na wake zao, tamaduni zetu nyingi zinatuminya wanawake kuonekana si lolote mbele ya mume, mume anaabudiwa Kama mtakatifu ukimkosoa unaonekana malaya uliyeshindikana,
Nimekubaliana nae baadhi ya misimamo yake Kama mwanaume na walau yeye anatetea Hilo pasipo matusi kejeli Wala dhihaka, wale wengine ndo hasara tupu hata hawajui maisha ya ndoa wanakurupuka tu ovyo ovyo,
Sikutaka kuendeleza majadiliano sababu vichwani mwao wamejawa na mfumo dume na kwa misimamo ile hayupo mwanamke kizazi hiki atakubali kuvumilia ndoa na hao watu.
Wenyeww wanakwambia nikiwa na pesa yangu hakuna mwanamke wa kunisumbua, halafu wakajikuta sasa pesa zimeisha🤣🤣kiswahili mfukoni, wakapotea, somo la ndoa kwa Wachumba inabidi lizingatiwe sana hii mitizamo ndo ipo huku mtaani tutajakuwa na jamii ya ovyo mno huko mbeleniNahisi inabidi tuurudie utaratibu wa jando na unyago. Vijana wa leo tumekuwa na kiburi tu na ujuaji mwingi...ila kiuhalisia hakuna kitu tunajua kuhusu mahusiano.
Tamaa, haraka, kukosa misimamo na uvumilivu vinatutafuna na malipo watalipa watoto.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Safi tuh long time no see youSalama habari hyper
Humu jf nimo Sana labda tunapishana tu, au upo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu?Safi tuh long time no see you
Au ndo kupishana majukwani
Mwanamke ukipika marotarota hunikaribishi😂😂 dah🙌🙌
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kiswahili mfukoniWenyeww wanakwambia nikiwa na pesa yangu hakuna mwanamke wa kunisumbua, halafu wakajikuta sasa pesa zimeisha[emoji1787][emoji1787]kiswahili mfukoni, wakapotea, somo la ndoa kwa Wachumba inabidi lizingatiwe sana hii mitizamo ndo ipo huku mtaani tutajakuwa na jamii ya ovyo mno huko mbeleni
Hahahaha tuvulana tumejaa humu karma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kiswahili mfukoni
Wakiwa na pesa oo mi mwanamke hanibabaishi ila zikiisha wanarudi kwa hao hao wanawake wasiowababaisha! Bora hata huyo aliyekiri kuwa yeye hata asipokuwa na pesa bado anataka mkewe amheshimu maana heshima haijengwi na pesa kuliko hao wanaojifanya wakipata pesa wanawake watakoma!
🤓🤓Hahahaha tuvulana tumejaa humu karma
Sijataja mtu🤓🤓
Tuvulana tena mkuu
Si ushukuru mungu anakupangia ratiba mkuu una uhakika utakula.Sasa mie naomba kuuliza mliooa ...inakuwaje mke anakupangia ratiba ya kumgegeda?
Mke kumpangia ratiba ya kunyemka mume wake ni ujinga uliopitiloza.Si ushukuru mungu anakupangia ratiba mkuu una uhakika utakula.
Cha ajabu mchepuko unapewa tunda any time ukiitisha,sometimes kuoa naonaga ni utopolo Fulani hivi.
Ni fala sana huyu jamaa yako[emoji851][emoji851][emoji851]
Wanawake ni pasua kichwa aisee, Yan hata uwe na pesa haimfanyi kuwa mnyonge hata kidogo.....
Kuna jamaa yangu anapesa nzuri tu, kamnunulia na mke wake gari lakin, mke ndo haelewi wala hasikii, anaweza kununua wiki mbili ndani haongei kitu...[emoji16][emoji16][emoji16]
Inafikia hatua jamaa akija mkoani anatafuta kimchepuko anajituliza kidogo maana ndani hakukaliki..