Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

We are so smart enough hatuez kaa na lisumbufu ndani.... jitu kila siku ugomvi .. aisee utasikiamsafari kila aiku ubishane na watoto.. no time for stupid arguments kwanza kubishana na nyie ni kutokujiheshimu.. wenye akili ya ugomvi kila siku hiwaga wajinga hata kama lizuri
😂😂😂Uzuri wenu siku hizi ni waoga mnaogopa kuusimamia uanaume wenu 😂😂😂 mnakimbia wanawake!!!!! Mmekuwa wepesi mno, hebu msomeni Frank, anajibu hoja kwa kuelezea misimamo yake haleti shutuma kwangu na hivyo ndivyo mnatakiwa kuwa
 
Mm natamani kusilimu nioe mke wa pili maana duh. Siku hizi naenda kazini siku 7 za wiki na wala sina kazi kule naenda kukaa tu ofisini. Sinywi pombe sivuti sigara sishabikii mpira na wala huwa sikai kwenye makundi mm huwa ni job nyumbani ndo sehem za ratiba yangu kwa siku
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekucheka kwa jinsi ulivyo jeuri, iliwahi kutokea hii jeuri and guess what hun, yule mwanamke aliolewa kwa heshima zote jamaa akabaki kuhaha na kuweweseka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kimoyo moyo
Huyo hakua mwanamke wa maana na Bora aliondoka huyo jamaa kaepushwa kikombe kibaya Sana bila kujua..
 
Kiburi cha kwenye keyboard unafikiri kinatutisha!!![emoji23] Huku kitaa mnaogopa hata nyumba mnashinda bar mpk usiku mnene ili ukute wife kalala, alfajiri umesepa,[emoji23] nicheke Tena!!!!

Muhimu Ni kuishi kwa kuheshimiana tu Kuna wenye hela na bado mapenzi yanawacharaza sawia, omba usipate mwanamke mbabe ama ubabe wako wa kiume uutumie kiakili kwa mkeo, ukipandisha mabega akikuamulia utayashusha tu, achana na mwanamke kabisa
Wewe hujakutana na wanaume au labda hao unaowaongelea ni wavulana ila si wanaume.....mwanaume aliejikamilisha hata siku kiumbe anaekojoa mpaka achuchumae kamwe hawezi mtetelesha...
 
Vijana wa siku hizi ndio maana Wanawake wanawapanda kichwani,ukishaingia kwenye ndoa fedha haina nafasi ya kuamua hatima ya ustawi wa ndoa yenu bali ni upendo,nidhamu,kuheshimiana,utii na Mwanamke kuwa chini ya Mwanaume kimamlaka na maamuzi.
Sahihi mkuu
 
Wewe hujakutana na wanaume au labda hao unaowaongelea ni wavulana ila si wanaume.....mwanaume aliejikamilisha hata siku kiumbe anaekojoa mpaka achuchumae kamwe hawezi mtetelesha...
Hapa ndo huwa nawadharau Yani hamuwezi kutetea uanaume wenu pasipo kutukana wanawake😂😂😂 na ukiona mwanaume unatumia nguvu nyingi kuonyesha uanaume wako Basi hapo ushafeli na utaendeshwa tu
 
Hapa ndo huwa nawadharau Yani hamuwezi kutetea uanaume wenu pasipo kutukana wanawake[emoji23][emoji23][emoji23] na ukiona mwanaume unatumia nguvu nyingi kuonyesha uanaume wako Basi hapo ushafeli na utaendeshwa tu
Asante [emoji4][emoji4]
 
Mm natamani kusilimu nioe mke wa pili maana duh. Siku hizi naenda kazini siku 7 za wiki na wala sina kazi kule naenda kukaa tu ofisini. Sinywi pombe sivuti sigara sishabikii mpira na wala huwa sikai kwenye makundi mm huwa ni job nyumbani ndo sehem za ratiba yangu kwa siku
Pole Sana mkuu,
 
Ooh Frank umeniquote sehemu nyingi, ila wewe ndio mwenye msimamo wa kiume Sasa, kwa comment yako ya Kwanza kabisa sikuelewa akili yako ila kwa hizi comments nyingine Basi nimekupata vyema,

Ukishindwana na mke unaacha na haurudi nyuma mpo wachache wenye hii misimamo,
Ndio hivyo Mwanaume unatakiwa uwe flexibly,penye uzuri unauendeleza na kwenye ubaya unauondoa.
 
Back
Top Bottom