Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Nimeketi zangu room, sina habari, nje wameketi Mwanamke mmoja wa 1998 na mwingine wa 1979... Wote wameolewa 1998 Mume wake ni wa 1990, na wa 1979 mume wake ana miaka 70+

Huyu wa mwanamke wa 1998, mume wake ana wivu wa kupitiliza na uwa inapelekea wanakwaruzana mara kwa mara, mpaka dogo anashindwa kujaliwa mume akihisi atapendeza sana kisha kuwavutia mahalamia, ni kweli binti ana uzuri fulani hivi ila matunzo zero. Kwa upande wa bi mkubwa wa 1979 yeye ni wa kawaida na mume wake ni mzee na uwa ana pressure. Wote hawa wanawake story zao zinafanana, hani wamepitia mistrust issues na some sort of domestic violence.

Sasa niwapangaji wenzangu, mimi nimeketi zangu ndani, Bi Mkubwa wa 1979 apiga story na huyo mwanamke wa 1998, story zao wote ni kuwa hawapendi waume zao, yani wanaishi nao kinafiki tu. Huyu bibie wa 1979 mume wake ana shida ya figo na ilitolewa na ana pressure, huyo wa 1998 yeye mume wake ni mpambanaji tu na yuko fit ila kama nilivyosema ni kuwa jamaa ana wivu sana kitu kinachopelekea mke wako kuwa kama mfungwa hata sisi wapangaji wakiume tunapunguza mazoea ili tusilete kashikashi.

Yani kwa kifupi hawa wanawake wote wawili wanapiga story waziwazi, kuwa hawawapendi waume zao, wanaishi nao tu ilimradi tu. Kauli ambayo ilinitisha kidogo, yani kumbe kuna wanaume wanalea familia huku wake zao hawapendi, yani wanawake hawa wapo kwenye hizi ndoa kwa sababu fulani fulani tu ila sio mapenzi. Huyu bi mkubwa ndio mother house, na ana watoto wakiume tu na ana wajukuu ambao wapo mkoa mwingine huko, yeye anaishi na mume wake tu ambae ni mzee wa miaka 70+, anasubiri mzee akate moto tu. 😂

Jamani unaweza ukahisi mke wako anakupenda, kumbe yupo na wewe kwa sababu fulani fulani tu kama watoto, au hana namna ya kimaisha tu kwa hiyo kaamua kujistiri kwako, au angalau wewe una unafuu wa maisha au kuna sababu yoyote tu inayomfanya ishi na wewe ila moyoni mwake haupo.

NB: Ishi na hawa viumbe kwa akili sana
 
Yaani wewe una conclude sababu ya hao wanawake 2?

We bure kabisa
Huo ni mfano tu wa wachache tu, wapo wengi ninaowafahamu... Fanya research mzee baba utanipa majibu
 
Matendo ya ndani ya ndoa ndio yanafanya roho ya upendo ipotee. Mwanzoni wanawapenda waume zao ndio maana waliolewa na kuzaa nao.
Asilimia 80 ya ndoa na mahusiano ni tia maji tia maji na tunaishi humo.
 
Hili nalo neno... Japo wapo walioolewa kwa sababu fulani fulani za kimaisha kama mali, na sio kwa kuwapenda waume zao.... Of course wanawake wengi wanakatishwa tamaa na matatizo ya ndani ya ndoa, ila pia wapo ambao ndoa iko vizuri ila yeye hampendi tu mume, mume ndio anafosi
 
Hatari sana
MPWAA SOMA BIBLE WANAWAKE AWAJAHI PENDA MWANAUME ATAMPENDA MKEWE MKE ATAMHESHIMU UKIONA AKUHESHIMU KIMBIA ANAKIUKA MAANDIKOOO

MKEWANGU NAMWAMBIAGA TUKIPATA DOmPO AUJAWAHI WALA UTAKAA UNIPENDE ILA USIPONIHESHIMU NAKUACHIA MPAKA NA KODI YANYUMBA
 
Nimeketi zangu room, sina habari, nje wameketi Mwanamke mmoja wa 1998 na mwingine wa 1979... Wote wameolewa 1998 Mume wake ni wa 1990, na wa 1979 mume wake ana miaka 70+

Huyu wa mwanamke wa 1998, mume wake ana wivu wa kupitiliza na uwa inapelekea wanakwaruzana mara kwa mara, mpaka dogo anashindwa kujaliwa mume akihisi atapendeza sana kisha kuwavutia mahalamia, ni kweli binti ana uzuri fulani hivi ila matunzo zero. Kwa upande wa bi mkubwa wa 1979 yeye ni wa kawaida na mume wake ni mzee na uwa ana pressure. Wote hawa wanawake story zao zinafanana, hani wamepitia mistrust issues na some sort of domestic violence.

Sasa niwapangaji wenzangu, mimi nimeketi zangu ndani, Bi Mkubwa wa 1979 apiga story na huyo mwanamke wa 1998, story zao wote ni kuwa hawapendi waume zao, yani wanaishi nao kinafiki tu. Huyu bibie wa 1979 mume wake ana shida ya figo na ilitolewa na ana pressure, huyo wa 1998 yeye mume wake ni mpambanaji tu na yuko fit ila kama nilivyosema ni kuwa jamaa ana wivu sana kitu kinachopelekea mke wako kuwa kama mfungwa hata sisi wapangaji wakiume tunapunguza mazoea ili tusilete kashikashi.

Yani kwa kifupi hawa wanawake wote wawili wanapiga story waziwazi, kuwa hawawapendi waume zao, wanaishi nao tu ilimradi tu. Kauli ambayo ilinitisha kidogo, yani kumbe kuna wanaume wanalea familia huku wake zao hawapendi, yani wanawake hawa wapo kwenye hizi ndoa kwa sababu fulani fulani tu ila sio mapenzi. Huyu bi mkubwa ndio mother house, na ana watoto wakiume tu na ana wajukuu ambao wapo mkoa mwingine huko, yeye anaishi na mume wake tu ambae ni mzee wa miaka 70+, anasubiri mzee akate moto tu. [emoji23]

Jamani unaweza ukahisi mke wako anakupenda, kumbe yupo na wewe kwa sababu fulani fulani tu kama watoto, au hana namna ya kimaisha tu kwa hiyo kaamua kujistiri kwako, au angalau wewe una unafuu wa maisha au kuna sababu yoyote tu inayomfanya ishi na wewe ila moyoni mwake haupo.

NB: Ishi na hawa viumbe kwa akili sana
Mapenzi yakiisha huwa yanabaki mazowea, hakuna penzi la kudumu!!
 
Back
Top Bottom