Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

Ndio ukweli wenyewe!unaishi na mtu ukijua mke kumbe mwenzako anakuona kama mshikaji!
 
Muongozo wa Wakristo kuhusu ndoa Ni huu:_
Wanaume wawapende wake zao na wanawake wawatii waume zao.
Ndio maana mwanamke ukimtongoza akisema sikupendi unaendelea kumbembeleza sio ili akupende Bali akubali kuupokea upendo wako.
Mwanaume hatakiwi kulilia kupendwa Bali anatakiwa asikilizwe .
Ingawa Kuna kauli moja wanawake wanapenda kuitumia
"kufanya mapenzi na mtu usiye mpenda Ni adhabu na kero Sana"
So mwanamke akikubali kuwa na mtu Fulani haimaanishi Kama amempenda kwa ule msisimko unaofanya Hadi moyo uumie but it's okay na wataendelea.
Kinyume chake mwanamke akimpenda Sana mwanaume Ni tatizo kwani anakuwa na wivu na anafanya vituko vingi Sana na anaumia Sana pale mwenzake anapokuwa bize bila kuonyesha upendo wa waziwazi na utotoutoto.
Lakini mwanaume akipenda Sana anaweza kuvumilia vituko maringo dharau wengine hata usaliti...hayo maringo dharau na jeuri vinatokana na uhahikia wa kupendwa ndio huyokeza kauli kama huyu mwanaume nipo naye tu hata simpendi
...kwa mwanamke Ni afadhali ukipendwa ukakubali kupendeka
...kwa mwanaume Ni afadhali kulazimisha kupenda kuliko kuupokea upenda wa mwanamke anayekuja speed.
Nawasilisha.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
"Enyi wanaume wapendeni wake zenu na wanawake watiini waume zenu"
Jukumu la kupenda sio lao wanawake
Kitendo cha kuwepo home na kutekeleza matakwa ya waume zao (Kuwatii) wamemaliza jukumu la msingi.
Kwahyo usiwabebeshe jukumu lisilo lao
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Back
Top Bottom