Point nimechukua hii.Utafananisha vipi mwanamke ambae haendi kunywa mipombe bar na kubwabwaja kojo kila dakika kumi huku akiwa hajuwi kujisafisha na maji. Na mwanamke ambae yupo nymbani ksjistiri na anajuwa nini maana ya kujitoharisha, kulinda udhu wake na kujifusha japo mara moja kwa siku?
Hao ni tofauti kubwa sana.
Kwaiyo nyie ndo mnafaa tuwapige pipe?Najivunia Uislam wangu, kama kupopolewa Uislam usiogope hilo, haupopolewi mwembe usio na embe.
Uislam ni mwema sana, tunafundishwa usafi kuanzia tukiwa watoto wadogo.
Nitoe mfano wanawake vibonge baadhi wavivu wa kuoga mwili mzima na kujipaka sabuni ya kutosha na kukimwagia maji vizuri, pia sisi wanaume tunapomwaga kama kibonge hajamwaga akienda bafuni anaona hajachafuka zaidi ya kujisafisha kwa pupa chini kwenye dhahabu pesa, baadhi ya sababu, pia nadhani ubonge unahitaji ziada kudumisha usafi hasa mijashoUtafananisha vipi mwanamke ambae haendi kunywa mipombe bar na kubwabwaja kojo kila dakika kumi huku akiwa hajuwi kujisafisha na maji. Na mwanamke ambae yupo nymbani ksjistiri na anajuwa nini maana ya kujitoharisha, kulinda udhu wake na kujifusha japo mara moja kwa siku?
Hao ni tofauti kubwa sana.
Uzinzi na uasherati ni uchafu. Usiukaribie.Nitoe mfano wanawake vibonge baadhi wavivu wa kuoga mwili mzima na kujipaka sabuni ya kutosha na kukimwagia maji vizuri, pia sisi wanaume tunapomwaga kama kibonge hajamwaga akienda bafuni anaona hajachafuka zaidi ya kujisafisha kwa pupa chini kwenye dhahabu pesa, baadhi ya sababu, pia nadhani ubonge unahitaji ziada kudumisha usafi hasa mijasho
Imani yangu naamini katika kuwa na wanawake kwanzia wanne wa kuoa kabisa kuliko Hawa mashetani wa barabaraniUzinzi na uasherati ni uchafu. Usiukaribie.
Ndege hao viumbe ni balaa sana I think mostly wana orodha kubwa ya wanaume na frequency ya kuhitajika yaonekana imewazidia sanaMnunulie wewe hayo manukato na sabuni na kila mnapokutana muoge wote
Ni kutokuwa mvivu wa kuoga kikubwa usafi Manukato ni ziada tu, keeping body cleansasa sie wenye allergies na hayo manukato tufanye nini wajameni
asante sana,,m hata njiani nkipishana na mwenye manukato lazma nizibe pua,,nitaumwa kichwa balaaNi kutokuwa mvivu wa kuoga kikubwa usafi Manukato ni ziada tu, keeping body clean
Huwezi na hautoweza kumpata nwanamke anaefata Uislam akafanya uasherati na uzinzi.Kwaiyo nyie ndo mnafaa tuwapige pipe?
Ila watoto wa kike wa kislam ni wasafi bana wacha zakoHeshima yako dada, najua wewe ni member mkongwe na mwenye heshima yake lakini ningependa kukupa maoni yangu ili kwa mtazamo wako uangalie kama ni chanya au ni hasi. Ni kuhusu hizi mada za vijana, tafadhali usiuingize Uislam maana vijana hawa hawaelewi punde tu wataanza kukupopoa na kukuona ni mdini (Mfia dini).
Kuna kitu labda hujakielewa, kuhusu swala la usafi ni wapi nimelipinga? Ninachojaribu kumweleza ni kuhusu maandiko yake na watu jinsi wanavyomkashifu.Ila watoto wa kike wa kislam ni wasafi bana wacha zako
Unataka wenzako wawe magaidiHuwezi na hautoweza kumpata nwanamke anaefata Uislam akafanya uasherati na uzinzi.
Nakushangaa wewe hujawa Muislam mpaka leo.
Yaani umelazimisha mada hadi umeingiza kwenye uislamu, mada ya ubonge na uislamu wapi na wapi?Manukato hayahusiani na usafi kabisa, tena manukato kama usafi hakuna ni mchanganyiko maalum wa bomu la harufu ya kiajabu.
Siku hizi wengi wananuka kwa kujifanya waarabu na wahindi feki. Ngozi nyeupe za madawa zinanuka sana, nywele za maiti na feki zina harufu mbaya sana zikikosa usafi. Wengi hawajui usafi wake.
Watanzania, hususan wasio Waislam hawaujuwi usafi wa mwili, hao ni pamoja na wale Waislam jina.