Wanawake wengi wanaojivunia Uzuri wa Makalio wamejisahau kwenye Usafi wa Mwili: Wazingatie Manukato baada ya kuoga

Wanawake wengi wanaojivunia Uzuri wa Makalio wamejisahau kwenye Usafi wa Mwili: Wazingatie Manukato baada ya kuoga

Utafananisha vipi mwanamke ambae haendi kunywa mipombe bar na kubwabwaja kojo kila dakika kumi huku akiwa hajuwi kujisafisha na maji. Na mwanamke ambae yupo nymbani ksjistiri na anajuwa nini maana ya kujitoharisha, kulinda udhu wake na kujifusha japo mara moja kwa siku?

Hao ni tofauti kubwa sana.
 
Point nimechukua hii.
 
Najivunia Uislam wangu, kama kupopolewa Uislam usiogope hilo, haupopolewi mwembe usio na embe.

Uislam ni mwema sana, tunafundishwa usafi kuanzia tukiwa watoto wadogo.
Kwaiyo nyie ndo mnafaa tuwapige pipe?
 
Utafananisha vipi mwanamke ambae haendi kunywa mipombe bar na kubwabwaja kojo kila dakika kumi huku akiwa hajuwi kujisafisha na maji. Na mwanamke ambae yupo nymbani ksjistiri na anajuwa nini maana ya kujitoharisha, kulinda udhu wake na kujifusha japo mara moja kwa siku?

Hao ni tofauti kubwa sana.
Nitoe mfano wanawake vibonge baadhi wavivu wa kuoga mwili mzima na kujipaka sabuni ya kutosha na kukimwagia maji vizuri, pia sisi wanaume tunapomwaga kama kibonge hajamwaga akienda bafuni anaona hajachafuka zaidi ya kujisafisha kwa pupa chini kwenye dhahabu pesa, baadhi ya sababu, pia nadhani ubonge unahitaji ziada kudumisha usafi hasa mijasho
 
Uzinzi na uasherati ni uchafu. Usiukaribie.
 
Ni kutokuwa mvivu wa kuoga kikubwa usafi Manukato ni ziada tu, keeping body clean
asante sana,,m hata njiani nkipishana na mwenye manukato lazma nizibe pua,,nitaumwa kichwa balaa
 
Heshima yako dada, najua wewe ni member mkongwe na mwenye heshima yake lakini ningependa kukupa maoni yangu ili kwa mtazamo wako uangalie kama ni chanya au ni hasi. Ni kuhusu hizi mada za vijana, tafadhali usiuingize Uislam maana vijana hawa hawaelewi punde tu wataanza kukupopoa na kukuona ni mdini (Mfia dini).
Ila watoto wa kike wa kislam ni wasafi bana wacha zako
 
Ila watoto wa kike wa kislam ni wasafi bana wacha zako
Kuna kitu labda hujakielewa, kuhusu swala la usafi ni wapi nimelipinga? Ninachojaribu kumweleza ni kuhusu maandiko yake na watu jinsi wanavyomkashifu.
 
Huwezi na hautoweza kumpata nwanamke anaefata Uislam akafanya uasherati na uzinzi.

Nakushangaa wewe hujawa Muislam mpaka leo.
Unataka wenzako wawe magaidi
Kiboko yao Yao netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu wakapambe na bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe
 
Namuunga mkono mleta mada usafi wa mwili ni muhimu, mimi huwa nikisikia harufu kali hamu huwa inaisha kabisa, nikiuchomoa sirudi.
 
Manukato hayahusiani na usafi kabisa, tena manukato kama usafi hakuna ni mchanganyiko maalum wa bomu la harufu ya kiajabu.

Siku hizi wengi wananuka kwa kujifanya waarabu na wahindi feki. Ngozi nyeupe za madawa zinanuka sana, nywele za maiti na feki zina harufu mbaya sana zikikosa usafi. Wengi hawajui usafi wake.

Watanzania, hususan wasio Waislam hawaujuwi usafi wa mwili, hao ni pamoja na wale Waislam jina.
Yaani umelazimisha mada hadi umeingiza kwenye uislamu, mada ya ubonge na uislamu wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom