FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Utafananisha vipi mwanamke ambae haendi kunywa mipombe bar na kubwabwaja kojo kila dakika kumi huku akiwa hajuwi kujisafisha na maji. Na mwanamke ambae yupo nymbani ksjistiri na anajuwa nini maana ya kujitoharisha, kulinda udhu wake na kujifusha japo mara moja kwa siku?
Hao ni tofauti kubwa sana.
Hao ni tofauti kubwa sana.