Wanawake wengi wenye vitengo maofisini hawana unyenyekevu kwa waume zao

Wanawake wengi wenye vitengo maofisini hawana unyenyekevu kwa waume zao

Mwanamke yoyote akiwa na kijinafasi anakuwa na nyodo sana, sijui ni kwanini?

Hata sekretari asiye na lolote lakini ana nyodo balaa.

Sijui ni ugonjwa wa akili ama?

Wangekuwa na nafasi nzito kama ya BICHWA KOMWE nahisi wangetemea watu mate usoni!

Hii haifai kabisa.
 
Ni kweli
IMG-20260930-WA0178.jpg
 
Mwanamke yoyote akiwa na kijinafasi anakuwa na nyodo sana, sijui ni kwanini?

Hata sekretari asiye na lolote lakini ana nyodo balaa.

Sijui ni ugonjwa wa akili ama?

Wangekuwa na nafasi nzito kama ya BICHWA KOMWE nahisi wangetemea watu mate usoni!

Hii haifai kabisa.
Hao watu ni shida wakiwa maofisini wanajikuta wamepanda bei sana akirudi home husband anakuona kama kikaragosi . Sasa hakuna mwanaume timamu anayeweza kuvumilia upuuzi huo
 
Wazee wetu waliamini kutafuta pesa ni kazi ya mwanaume na mkeo kulala. Wake zako 2, utapata wapi stress. Mkeo aende semina wiki na boss mikoani ,mwanume unapataje usingizi
 
Mwanamke yoyote akiwa na kijinafasi anakuwa na nyodo sana, sijui ni kwanini?

Hata sekretari asiye na lolote lakini ana nyodo balaa.

Sijui ni ugonjwa wa akili ama?

Wangekuwa na nafasi nzito kama ya BICHWA KOMWE nahisi wangetemea watu mate usoni!

Hii haifai kabisa.
Hawajazoea mamlaka. Tuwavumilie tu hawa dada zetu na mama zetu.
 
Kuna namna Mungu aliwaleta wanawake huku duniani kuona kama wanafaa kuwepo ulimwenguni.

Mungu hajaoa, Shetani hajaoa, Malaika hawajaoa, Yesu hakuoa

TAFAKARI, CHUKUA HATUA

SITAKUFUNDISHA TENA
 
Sasa kama Mwanamke hana heshima ndani ya Nyumba,kinachokufanya uendelee kuishi nae ni kipi hasa?

Mwanaume wa kweli na anaye jielewa,hawezi kuvumia upuuzi wa aina hiyo hata siku moja,

Timua hiyo Mbuzi haraka sana.
 
Back
Top Bottom