Wanawake wengi wenye vitengo maofisini hawana unyenyekevu kwa waume zao

Wanawake wengi wenye vitengo maofisini hawana unyenyekevu kwa waume zao

Muendeleee kuosha vyombo tu...imagine mwanaume una elimu ndogo then unamuoa mwanamke aliyekuzidi elimu, huna pesa unamuoa mwanamke aliyekuzidi, then huna umaarufu unamuoa mwanamke aliyekuzidi umaarudu hapa lazima uoshe vyombo....wanaume kama hawa ni ******* na wanatakiwa wachapwe mpaka viboko na wake zao
 
Muendeleee kuosha vyombo ******* nyie...imagine mwanahme una elimu ndogo then unamuoa mwanamke aliyekuzidi elimu,huna pesa unamuoa mwanamke aliyekuzidi,then huna umaarufu unamuoa mwanamke aliyekuzidi umaarudu hapa lazima uoshe vyombo....wanaume kama hawa ni ******* na wanatakiwa wachapwe mpaka viboko na wake zao
Kwanza nataka kujua jinsia yako wewe ni ipi ? Pili nikuweke sawa kibri cha mwanamke haina maana mwanaume ndio hajiwezi kimaisha au hana elimu . Hiyo ni Nature tu ya wanawake kutaka mashindano na wanaume
 
Mkuu,
Mwanaume ndie mtawala na ndiye kiongozi ndani ya Nyumba/Familia,

Ukishaona Mwanamke anakuletea dharau,jichunguze vizuri,tatizo ni wewe,huyo Mwanamke alisha kusoma udhaifu wako toka mwanzo au ulimregezea toka mwanzo,

Mwanamke hatakiwi kua juu ya mumewe,haijalishi cheo chake,mali zake,umaarufu wake wala elimu yake.
 
Mwanamke yoyote akiwa na kijinafasi anakuwa na nyodo sana, sijui ni kwanini?

Hata sekretari asiye na lolote lakini ana nyodo balaa.

Sijui ni ugonjwa wa akili ama?

Wangekuwa na nafasi nzito kama ya BICHWA KOMWE nahisi wangetemea watu mate usoni!

Hii haifai kabisa.
😂😂😂
 
Mwanamke unapokuwa na mume wako sahau kama kazini unaitwa boss sijui unacheo wajibika kama mke. Wanawake waajiriwa wana viburi sana akiwa na cheo atataka mamlaka ya ofisini ayapeleke mpaka nyumbani.
Ni kweli maana wanakuja wamechoka na majukumu siku nzima halafu kakengee kamoja kanadai heshima badala awe mpole amualike mke wa ke dinner au ampe massage mazuri huku akimpa maneno mazuri pole mke wangu za kazi na huyo naye ajishushe sasa huna hela bado unataka mtu akunyenyekee wewe ni kenge au mkenge
 
Katibu kwanza huo usaha wa mkunduni kwako soko huna sahivi . Pole sana walikufumua mpaka wamekutoa usaha.
Hizi comments zako zinakuja na harufuu ya mavi..kanunue pampasi chap..tuma namba dm nikutumie pesa...ukanunue pampasi..chap kwa haraka
 
Humu jamii forum usije ukanijaribu tena nitakunyoosha wewe unakimbilia kutukana watu unadhani cc wengine hatuna matusi , ustaarabu tunaigiza tu
Umechanganyikuwa mpaka unabishana na comment zako..inaoneka we ndio unausaha mpaka imeku affect akili
 
Mwanamke yoyote akiwa na kijinafasi anakuwa na nyodo sana, sijui ni kwanini?

Hata sekretari asiye na lolote lakini ana nyodo balaa.

Sijui ni ugonjwa wa akili ama?

Wangekuwa na nafasi nzito kama ya BICHWA KOMWE nahisi wangetemea watu mate usoni!

Hii haifai kabisa.
La mama halaaaa.....😅😅😅
 
Back
Top Bottom